Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

mkuuu imebaki timu ya romani rapid bucharest zimeongezwa dakka 25 ....hata sielewi....wakati mechi haijasimama wala nn...... na fortuna dussdolf..... aston vila....

zimefika 30 ....duh.... troyes kafunga goli limekataliwa....dalili mbaya hizi....
 
doooh leo Aston villa na Southampton still hakuna mbabe..... shikamoo muhindi
 
Jana faida imekwenda,umebaki mtaji ambao nafikiria kuudumbukiza kwa Manchester city
 
Mtaji umekata sijui utarudi.....
Nikifanya hivi.....
 

Attachments

  • 1416906855275.jpg
    1416906855275.jpg
    58.3 KB · Views: 119
tips zangu za leo;
sporting Cp,psg,chelsea3+,roma draw no bet,fc porto,shaktar over2.5.
total odds ni 18.46
 
Back
Top Bottom