Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Yaani hela niliyotafuta kwa wiki nzima ndo inaisha kisa Chelsea.
 
neno ningejua huja baadaye sana, ningejua ningemuua chelsea, masikini raki moja yangu hivi.hivi imekwenda na maji, nyukesto wanapenda sifa sana!!!
 
Duh! Arsenal kashakalia vitatu HT! Noma sana, leo ni mbaya kwa final results. Wale wa over 2.5 watakula.
 
Roma kashakalia 2 kwa Sassuolo, tena yuko home! Leo sio kabisa kwa investors.
 
chelsea win
man city win
tottenham win
bayern munchen win
atletico madrid win win
roma win
benfica win
psg win
liverpool win

Total odds 22.51877

mwenye mashaka twamtoa.....

Mkeka umechanika chanika kama nyavu za kuvulia kambale!
 
chelsea win
man city win
tottenham win
bayern munchen win
atletico madrid win win
roma win
benfica win
psg win
liverpool win

Total odds 22.51877

mwenye mashaka twamtoa.....

Yaani timu zimepita na hela kama Landcruiser iliyo ibwa
 
Last edited by a moderator:
sio mbaya kwa leo
 

Attachments

  • 1417904732005.jpg
    1417904732005.jpg
    46.9 KB · Views: 209
Back
Top Bottom