Ibra Mo
JF-Expert Member
- Oct 27, 2010
- 793
- 102
kiukweli bila kubadilika tutalia kila siku mie nshabet sana tena mizigo natupia kote kote yaani premier,meridian pa1 na m-bet nacheza game 7 nakuendelea unakuta game moja au 2zinakuua...juzi nkaamua nifanye kautafiti kadogo kupitia m-bet bila kutuma pesa lakini kwenye laki nkawapa panathainakos,martimo,braga,lille na sevilla hesabu ikaleta kama 295000,jana juve na Barca nkawapa cap kwenye laki hesebu ikaleta 210000/..kwahiyo ndani ya siku 2ningekuwa na faida ya laki3...mie mwaka wa2 sasa nabet sijawahi kula zaidi ya 57000 kwa mara moja kwaajili yakucheza hizi buku buku na jero jero na hata nikitoa nlizoliwa na nilizokula ni hasara tupu...Mwaka huu lazima tubadilike kwakusaka mitaji nakucheza game 2 hadi 3 za uhakika.
