Rockcity native
JF-Expert Member
- Dec 31, 2012
- 2,174
- 1,445
- Thread starter
- #10,541
Wadau vp maendeleo mpk mda huu?
leo muhindi imekula kwake tim pendwa zote zinaongoza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wadau vp maendeleo mpk mda huu?
Habar waheshimiwa nimepitia mikeka mingi nimeona mmemuamini sana man city kiukweli leo man city anafungwa cap tena mkeka huko hivi wanaohitaji Barca A&2+ derby H&2+ brentford H&2+ middlesbrough H&2+ Watfotrd win ipswich Win Juventus 28+ or 《《 hiyo ni sure betts odds 95 weka 55000 kesho uamke milionea
Kama mambo yangeenda sawa ingekuwa kilio na kusaga meno kwa muhindi
View attachment 229109
nimekesha naandaa huu mkeka nkipigwa na leo likizo inanihusu jamani....maana account inasoma 5000 tu..... tangu november niweke salio account haikuwahi kukauka....ikikauka tu likizo mpaka april....
kama nilivyo ahidi.... Siku zote nauliwa na timu moja.....guiseley ananiua tena peke yake..... Wakubwa nilikuwepo...View attachment 229109
nimekesha naandaa huu mkeka nkipigwa na leo likizo inanihusu jamani....maana account inasoma 5000 tu..... Tangu november niweke salio account haikuwahi kukauka....ikikauka tu likizo mpaka april....
Habar waheshimiwa nimepitia mikeka mingi nimeona mmemuamini sana man city kiukweli leo man city anafungwa cap tena mkeka huko hivi wanaohitaji Barca A&2+ derby H&2+ brentford H&2+ middlesbrough H&2+ Watfotrd win ipswich Win Juventus 28+ or 《《 hiyo ni sure betts odds 95 weka 55000 kesho uamke milionea
Umetisha mkuu
Nadhani wengi wetu mmepiga mzungu namdosi.. Hongereni sana, na kama sivyo, Pole sana... Kesho nayo siku tukutane tena jamvini kusuka mikeka.
Likizo njema!!
Mkuu made sio hii... Sisi sote ni askari dhidi ya mdosi... Tupeane moyo
ni kweli b5 click....ila kuna kipindi mambo yakiwa magumu inabidi umpumzike kwa muda na kwa kuwa ametuaga basi nimemtakia likizo njema ili akija awe na nguvu mpya!!Kama nimekukwaza tuwiane radhi mkuu ila sina nia mbaya.
kama nilivyo ahidi.... Siku zote nauliwa na timu moja.....guiseley ananiua tena peke yake..... Wakubwa nilikuwepo...
Acheni upuuzi mi hapa nina gesi nshaliwa milion toka nianze kuweka mzigo afu mnaleta usenge