adakiss23
JF-Expert Member
- Jan 23, 2011
- 4,732
- 4,901
Kesho kuna pesa. Chukua timu 3 toka championship, 3 league one, 3 league two na 3 comferrence. Fanya analyse weka mpunga bomoa maisha.
U have a point there
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kesho kuna pesa. Chukua timu 3 toka championship, 3 league one, 3 league two na 3 comferrence. Fanya analyse weka mpunga bomoa maisha.
kesho kuna pesa. Chukua timu 3 toka championship, 3 league one, 3 league two na 3 comferrence. Fanya analyse weka mpunga bomoa maisha.
mwana nimekusoma vyemaa...
Yakubu naomba timu 3 za uhakika mkuu wa kazi.
Ibra MO
Mkuu ngoja ss ndio ntaka niingie kzn rasmi ntaanza kushusha vtu muda co mrf na timu zako 3 utapata nkjarbu kukupa na dondoo il na ww kujrdhsha zaid.Leo nmepania mzungu hawez kutoka bla hata elf20 yake kuila
Hahaha mkuu tia mikeka ya mia mbili mbili ishirini hakika hukosi 50000 hahaha hako ni kaujanja Ka siye wenye mitaji midogo dail lazima nimle hata 5000 so mwisho wa week nakusanya mahesabu yangu kiroho safii juzi nimekula kote kote nikaona nipunguze kidogo ya vocha
kibajaji toa maelezo mazuri pia huo ni kampuni ipi
Ibra MO
Mkuu ngoja ss ndio ntaka niingie kzn rasmi ntaanza kushusha vtu muda co mrf na timu zako 3 utapata nkjarbu kukupa na dondoo il na ww kujrdhsha zaid.Leo nmepania mzungu hawez kutoka bla hata elf20 yake kuila
Pa1 kiongozi...nasikilizia hayo madini huyu kanjibai leo hatoki.
View attachment 231480
Wadau nauweka jamvin huo kwaajl ya upembuz hapo bd cjautoa nasubr maon na ushaur ndio ntupie mzg nmeutengea 10,000
View attachment 231480
Wadau nauweka jamvin huo kwaajl ya upembuz hapo bd cjautoa nasubr maon na ushaur ndio ntupie mzg nmeutengea 10,000
Hapo kwa bornemouth pagumu siku za karibuni amekuwa off-form ndomana kadrop kutoka position ya kwanza hadi ya 4 na wolves kwa sasa wapo vizuri ni bora ungechagua kati ya key dons na swindon ukampa m1.
Brentford na huddersfield game ya sare hiyo. hapo waweke bristol rover