Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

what telegram group? sinaga hata h8yo telegram mkuu, yes zingine naedit mwenyewe zingine natoa kwa watu naojua wako vizuri kuedit,

na kushare humu ni vile tu natamani kuhelp pia wenzangu sababu pia nlisaidiwaga sana zamani nlipoanza betting, nilipigwa mpaka, but watu ambao hata siwafahamu they helped me, nkawin sana tena sana tena sana, gari yangu ya kwanza nilinunua cas of betting tena bet nloibaga kwa nigerian guy na ikawin, so relax , ukitaka cheza usipotaka tulia, si lazima ujue natoa wapi, au nalipwa?[emoji50]
mkuu mbona povu sana kwa hio hii mimi nimetoa wapi?
IMG_20240209_193257_378.jpg
 
imagine eti nmetoa telegram sjui niwaambie watu, what for? humu ukiona watu wameshare bet slips we chagua unayoona nzuri cheza si lazima ujue watu wsmetoa wapi, such a crack
nimeweka ushahidi hio mikeka yako yote unatoa telegram acha kubisha bisha hapa
Tip 2

3.40 odds[emoji120]View attachment 2898413
mkeka uliyotoa telegram si huu hapa?

umeficha tu namba za.mdau na taarifa zake chini halafu unalia lia?
IMG_20240209_193523_935.jpg
 
Wakuu,kuna option katika basketball na Tennis betting siielewi,kwa mfano unakuta OLIMPIA MILANO VS REAL MADRID=21-2 OT...hii ina maana gani?
 
mkuu mbona povu sana kwa hio hii mimi nimetoa wapi?View attachment 2898855
well sjui wapi but maybe kwa same person maybe ako telegram pia so no one needs to know all that, share bet slips thats all, huko wechat, twitter or insta tukishinda hua tunawabariki.walioshare kwa chochote tunawatumia, siko humu kuwapromote watu just to help my fellows
 
nimeweka ushahidi hio mikeka yako yote unatoa telegram acha kubisha bisha hapa

mkeka uliyotoa telegram si huu hapa?

umeficha tu namba za.mdau na taarifa zake chini halafu unalia lia?View attachment 2898856
pitia hiyo web uone if iko telegram tu, acha ubishi, me namfollow jamaa insta and we always chart, if uko telegram yake pia is good thing cas i even dont have telegram
 
linaitwa hivyo hivyo predict futbol nashangaa jamaa anajinadi eti ni yake[emoji28][emoji28][emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
wapi nmesema yangu? me sio jamaa ni mama, follow him even in instagram
 
Naomba kufahamishwa jinsi ya kukagua tiketi Throne bet
ingia kwenye web, kisha fungua hivi.. halafu bonyeza hapo scan the ticket then weka code...

halaf msiwe mnatumia haya.mamitandao mengine yenyw interface ngumu ngumu
Screenshot_20240209-212502.jpg
 
Back
Top Bottom