Hivi unabishana na mtu aliejiunga JF 2021 ? Juzi tu hiyo
Halafu angalieni profile lake then ingieni kwenye post zake za zamani kabla hajaanza Utapeli wa Odds za KAMARI,kisha mtajua ni hamnazo
Ni vituko vituko vitupuu,yaani utajua tu is a SIMPLE MINDED ONE
Hata Mirembe kuna MACHIZI wana Sim na wengine Wana laptop,maana inategemea na level ya uendawazimu kwa muhusika na USHAURI wa Daktari wa akili.
Mwanzo tu,wote tulijua Chizi ana ji entertain,tukamvumilia na kumfariji kwa ukatuni wake,alivyoanza kuingiza sanaa ya Utapeli ktk Betting ndio watu tukaona huyu ni CHIZI MAARIFA anaejiongeza kizamaaani mnoo.
Aangalie post zake za zamani kabla hajaanza kutafuta Maisha ya kupiga watu wa Betting mtajua ni mtu Gani,na hamtoumiza kichwa tena.
Tumpuuzieni TU
Ila aangalie tu njaa ikihamia Kichwani na ikifeli utatuzi basi inahamia kwenye Makalio,hapo ndio safari