Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Yule anayetabiri matokeo kwa unajimu mwambieni hii ni betting. Kwa jinsi alivyotabiri mechi ya simba na asec kama kuna mtu alimfata ameliwa. Maana alisema
° mechi itatoka 1:1 au
° simba itafungwa 2:1
° uwezekano wa timu zote kufungana jibu ni ndio.

Betting hata wachawi na waganga wameishindwa.
 
Haya pamekucha sasa chukua oddd hapa BET WAY
1.BET CODE 79EC545, ni jumla ya 340469.40
2.79A40A7, Ni jumla ya odd 2945353.13
3.79EC671 jumla ya odd 101.95

4. 79BD9D3 jumla ya odd 19
 
UTABIRI WA MECHI KATI YA ASEC MIMOSA NA SIMBA TAREHE 23 /02/2024

Siku hii jua lipo ktk nyota ya Samaki na mwezi ktk nyota ya Simba.

HALI ZA TIMU KINYOTA

Simba kinyota ni Mizani na Asec mimosa kinyota ni Punda.
Uwiano kinyota timu zote zipo sawa.

HALI ZA MAKOCHA
Kocha wa Asec mimosa ana nyota ya Simba na yule wa Simba ana nyota ya Mshale.

HALI ZA MAKIPA

MAKIPA wa Asec mimosa Wana nyota za Mbuzi isipokuwa mmoja mwenye nyota ya Samaki hivyo Kwa siku hii wapo vizuri Sana.
Kwa upande wa Simba MAKIPA wao Wana nyota za Kaa, Mashuke na n'ge Hivyo Kwa siku hii nyota ya Kaa na n'ge watafaa Sana.

MATOKEO YA MCHEZO

Mchezo huu una Kila dalili ya Sare ya goli 1-1
Au Simba kufungwa goli 2-1

Hivyo timu zote kufunga magoli jibu ni ndiyo

NINI KIFANYIKE

Kikosi Cha Simba kipangwe kulingana na Hali ya nyota Kwa siku hiyo.

Utabiri huu umezingatia nafasi ya mwezi na jua pia mipangilio ya sayari Kwa siku hiyo.
[emoji30][emoji30][emoji30][emoji30]
 
Kama umekuja kuleta utapeli wako humu wa kuuuza odd tumia hizo odd ufanye betting
na we churaa kaa kimyaa pumbavu yanakuhusu nyokoo aya aje mwingine leo najibu oja zenu ***** mi ndio pipa aka mtu asie na akili unabishana na tahira afu unataka kujiona na wewe upo sawa.... Msisahau nauza odd leo kuna mechi kali sana
 
Japanese wameanza mapema ujinga wao,,,,,, magoli ya baada ya dk kuisha
 

Attachments

  • Screenshot_20240224-091002.png
    Screenshot_20240224-091002.png
    97 KB · Views: 8
Hivi unabishana na mtu aliejiunga JF 2021 ? Juzi tu hiyo

Halafu angalieni profile lake then ingieni kwenye post zake za zamani kabla hajaanza Utapeli wa Odds za KAMARI,kisha mtajua ni hamnazo

Ni vituko vituko vitupuu,yaani utajua tu is a SIMPLE MINDED ONE

Hata Mirembe kuna MACHIZI wana Sim na wengine Wana laptop,maana inategemea na level ya uendawazimu kwa muhusika na USHAURI wa Daktari wa akili.

Mwanzo tu,wote tulijua Chizi ana ji entertain,tukamvumilia na kumfariji kwa ukatuni wake,alivyoanza kuingiza sanaa ya Utapeli ktk Betting ndio watu tukaona huyu ni CHIZI MAARIFA anaejiongeza kizamaaani mnoo.

Aangalie post zake za zamani kabla hajaanza kutafuta Maisha ya kupiga watu wa Betting mtajua ni mtu Gani,na hamtoumiza kichwa tena.

Tumpuuzieni TU

Ila aangalie tu njaa ikihamia Kichwani na ikifeli utatuzi basi inahamia kwenye Makalio,hapo ndio safari

Screenshot_20240224-093814.png
 
na we churaa kaa kimyaa pumbavu yanakuhusu nyokoo aya aje mwingine leo najibu oja zenu ***** mi ndio pipa aka mtu asie na akili unabishana na tahira afu unataka kujiona na wewe upo sawa.... Msisahau nauza odd leo kuna mechi kali sana
Ukiwa unauza odds usisahau kuuza na tako maana hapo utapata faida maradufu ya fasta.JIPANGE
 
We bwana hapo juu mr [gevrnon] unaowaeleza wote wanalijua hilo wanajua kama mi tahila nikuulize tu hivi mna matatizo gani mbona we na wenzio mnatumia nguvu kubwa sana... Ooh kumbe bas nimesha jua oya nauza odd njoen pm sio mnapigapiga kelele hapa pumbavu zenu na mtani diss sana hamjui kama mnanipa umaarufu mara mia mngekaa kimya ooh nimesahau kujitambulisha ni yule yule mr pipa aka nabii wa mikeka
 
Ukiwa unauza odds usisahau kuuza na tako maana hapo utapata faida maradufu ya fasta.JIPANGE
hahahaha nimecheka leo kumbe wana mpo serious ngoja niwashindie mawe ili niwe maarufu najua had wana mtawaambia kuna jamaa jf anaitwa pipa oya we kikaragosi tulia broo nauza odd njoo pm sio kelele ming utazan hunogi mwanaume hawi hivyo aya aje mwingine
 
Back
Top Bottom