Prostar
Senior Member
- Apr 25, 2015
- 126
- 72
Kwanini usipost huku, telegram siku iz inasumbua kweli. Mi naona ni fresh na poa ukapost kwenye hili group to avoid divergence ya watu. ShukranChannel Ya Telegram 👉 Kayombo Tips ⚽🥎🏈🎾🎱🏀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini usipost huku, telegram siku iz inasumbua kweli. Mi naona ni fresh na poa ukapost kwenye hili group to avoid divergence ya watu. ShukranChannel Ya Telegram 👉 Kayombo Tips ⚽🥎🏈🎾🎱🏀
Mkuu ili utumie Telegram download VPN yoyote. Washa kisha utaweza kuingia telegram. Pia, wenye mtandao wa JamiiForums huwa hawaeleweki, utakuta wamekupiga bann. Mwezi uliopita walinipiga bann.Kwanini usipost huku, telegram siku iz inasumbua kweli. Mi naona ni fresh na poa ukapost kwenye hili group to avoid divergence ya watu. Shukran
Kwanini unakimbia kodiKAMPUNI gan haina Kodi Kwa sasa?
Jamaa unazingua sasa watu wataanza kujambia sasa TULIANaona jamaa yuko vizuri jana aliweka code zake kama ulifuata mechi za jana zote zilitoa leo tunasubilia mechi zilizobaki

Huu mkeka umetembea vizuri ila ungeurekebisha kidogo. Hizo timu ulizozipa zishinde ungezilinda (DC n total goals na uweke U 3.5) historia inaonyesha timu za Africa haswa za taifa game kufikisha goals zaidi ya 3 ni maajabu.F25B41 SPORTYBETY. mpaka sa 3 usiku ni kucheka tuuu leo![]()
Ulifuata jana mkuu?Siku nikikufuata inakuwa loss dah
Cash out ni ×12.5 ya stake tucash out au tukaze wataalam, game zilizobaki hizo00E5D4 sportybet
Yaani tz ndo umetuua kabisa dah,,,,
Vunga ya Mungu mengi,,,,, kuomba German wafungane tu itoke overCash out ni ×12.5 ya stake tucash out au tukaze wataalam, game zilizobaki hizoView attachment 3092364
Jana sikuingia online ya kubeti alafu ndo zimetoa kibabeUlifuata jana mkuu?