Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kwanini usipost huku, telegram siku iz inasumbua kweli. Mi naona ni fresh na poa ukapost kwenye hili group to avoid divergence ya watu. Shukran
Mkuu ili utumie Telegram download VPN yoyote. Washa kisha utaweza kuingia telegram. Pia, wenye mtandao wa JamiiForums huwa hawaeleweki, utakuta wamekupiga bann. Mwezi uliopita walinipiga bann.
 
IMG-20240910-WA0008.jpg

ni Nigeria pekee ndio utaona haya mambo
 
Hii kampuni sio matapeli kweli maana ipo tanzania tu ni kampuni mpya
 

Attachments

  • Screenshot_20240910-102046.jpg
    Screenshot_20240910-102046.jpg
    527.5 KB · Views: 4
F25B41 SPORTYBETY. mpaka sa 3 usiku ni kucheka tuuu leo:3Head:
Huu mkeka umetembea vizuri ila ungeurekebisha kidogo. Hizo timu ulizozipa zishinde ungezilinda (DC n total goals na uweke U 3.5) historia inaonyesha timu za Africa haswa za taifa game kufikisha goals zaidi ya 3 ni maajabu.
Tanzania hata jua liwake hatuwezi kuwafunga Guine wakiwa kwao.
So. Mlinde Guine na magoli yasifike ma4.
Kazi njema.
 
Jana ndo nimeelewa maana ya cash out Morocco nimempa goli mbili kabaki yy nikaletewa cash out nikakaza bwana wee mwisho wa siku kilio
 
Back
Top Bottom