Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kumekuchaaaaaaaa 🤣🤣🤣🤣🤣

Mwendo wa KUREBET mwisho umaendelea KU RE-RE-BET umaendelea tena Ku RE-RE-RE-BET

Man City vs Arsenal session ya matusi
 
source ya soccerstats.com ishakuwa ya kiboya. walianza na "this service is not available in your country".

sasa wamekuja na "the public version is maximum of 20 matches".
 

Attachments

  • soccerstats.com.jpg
    soccerstats.com.jpg
    636.2 KB · Views: 3
TANGAZO:-

Nyie MLIOINGIA huko PARIPESA mnatujazia page za malalamiko

Wiki mzima hiiii ni nyie tuuuuuu,kila mtu na kesi zake,hivi mlitumwa huko?

Aliewaingiza Chaka mwenyewe katuliaaa anatupia CODE nyie mnajaza malalamiko.

Mnazingua kweli

SER endelea kututupia Code za PARIPESA mwenye malalamiko awapigie sim
 
Kuna mdau alishauri tujaribu na kadi za njano, nimejaribu leo naona si haba na hazina presha sana.
Screenshot_20240922-214430_Megapari.jpg
 
Back
Top Bottom