Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Azam wangekujua wameshikilia hela yangu nzuri sana wangekaza wakapata bao moja tuuuuuu
 
team za spain kwenye mashindano ya uefa mwaka huu ni kuzikwepa tu......
takataka sana, sijui wanacheza utopolo gani,

jana girona, leo sociedad
 
Man U wasenge wakubwa! Yaani mimi sikuwa na mpango wa kuwaweka.kwenye mkeka wangu wowote.

Ila nilipochungulia kwenye simu na kuona wanaongoza 2 - 0 ndani ya dk 20 tu za mchezo nikashawishia kuweka kustake upande wao.

Sasa ona kinachoendelea saa hii. Manina zao kabisa!
Mi siku waweka kwenye bet slip yangu Muhimu

Nilishawiashika na odd 3 zao nikawafuata mazima na single bet
Wamepunguza faida ya bet yangu nilioshinda
 
Back
Top Bottom