Governor of Bettors-GB
JF-Expert Member
- Jul 14, 2013
- 10,568
- 9,710
Hizi Team zenye Mechi za UEFA wiki Ijayo ni sheedaHivi mna uhakika hawa Anderlecht ni timu au kikundi cha wacheza sindimbaView attachment 3129215
Anderlecht kama Ajax
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizi Team zenye Mechi za UEFA wiki Ijayo ni sheedaHivi mna uhakika hawa Anderlecht ni timu au kikundi cha wacheza sindimbaView attachment 3129215
Labda kama kuna faida unayoipata huko sawa endelea kukomaa mpaka kieleweke ila kiukweli paripesa cyo binafsi nilifuta li-app lao... na kuna Salio niliwaachia maana huko kutoa na kuweka ni kisanga,Mkuu unaposema hizi kampuni ni za kitapeli unakosea sana. Ina maana unataka useme PARIPESA wanatapeli Afrika nzima ambako kampuni ipo kama ilivyo 1xbet? Kwa sababu PARIPESA haipo tu Tanzania tu ipo Africa nzima. Shida huwa ni wakala wa Tanzania waliyeingia naye mkataba wa kuweka na kutoa hela. Pia mimi na Deposit kwa mitandao ya simu mara nyingi natumia Airtel, pia natumia sarafu ya mtandao nk.
Hivyo shida ni wakala.
Wewe ushawahi ona mfano wa Nigeria wanalalamika juu ya kuweka na kutoa hela kwenye kampuni za mrusi? Pia wenzetu Nchi yao imeendelea wanafanya malipo kwa kutumia bank transfer.
Haya nitajie kampuni za mrusi ambazo hazina changamoto na za kueleweka zaidi ya 1xbet, PARIPESA, Helabet, Betwinner, 888STARZ, melbet nk. Ambapo kwenye kampuni hizo zote hapo juu nazitumia kubetia. Ukinitajia ambayo huwa haina changamoto kwenye suala la malipo nitajiunga nalo rasmi leo hii, na Deposit na kuanza kuleta Code zake hapa.Labda kama kuna faida unayoipata huko sawa endelea kukomaa mpaka kieleweke ila kiukweli paripesa cyo binafsi nilifuta li-app lao... na kuna Salio niliwaachia maana huko kutoa na kuweka ni kisanga,
Ila kama kweli uko siliazi na pesa unatia kweli na cyo demo akaunti hebu onyesha upendo kwa wadau kwa kuingia kwenye kampuni zenye kueleweka!!!
Ila kama ni demo akaunti sawa komaa ila unawaumiza watu mmoja wao ni mm na siongei kinafki
Mkuu kwani mpaka leo hujatoa hela yako? Mbona kuna wana wengi tu humu walikumbwa na changamoto za kutoa hela wakavumilia na wametoa hela zao? Mkuu labda kama una changamoto nyingine. Ila usijali mkuu tuombeane kheri na tuendelee kumpiga kanji.Labda kama kuna faida unayoipata huko sawa endelea kukomaa mpaka kieleweke ila kiukweli paripesa cyo binafsi nilifuta li-app lao... na kuna Salio niliwaachia maana huko kutoa na kuweka ni kisanga,
Ila kama kweli uko siliazi na pesa unatia kweli na cyo demo akaunti hebu onyesha upendo kwa wadau kwa kuingia kwenye kampuni zenye kueleweka!!!
Ila kama ni demo akaunti sawa komaa ila unawaumiza watu mmoja wao ni mm na siongei kinafki
ParmatchHaya nitajie kampuni za mrusi ambazo hazina changamoto na za kueleweka zaidi ya 1xbet, PARIPESA, Helabet, Betwinner, 888STARZ, melbet nk. Ambapo kwenye kampuni hizo zote hapo juu nazitumia kubetia. Ukinitajia ambayo huwa haina changamoto kwenye suala la malipo nitajiunga nalo rasmi leo hii, na Deposit na kuanza kuleta Code zake hapa.
Mkuu Paripesa HAIPO Tz kwasababu haijasajiliwa kufanya biashara Tz, haina vibali vya kufanya biashara hiyo hapa Tz na wala haina ofisi hapa Bongo kama ilivyo 888starz, 1xbet, 22betMkuu unaposema hizi kampuni ni za kitapeli unakosea sana. Ina maana unataka useme PARIPESA wanatapeli Afrika nzima ambako kampuni ipo kama ilivyo 1xbet? Kwa sababu PARIPESA haipo tu Tanzania tu ipo Africa nzima. Shida huwa ni wakala wa Tanzania waliyeingia naye mkataba wa kuweka na kutoa hela. Pia mimi na Deposit kwa mitandao ya simu mara nyingi natumia Airtel, pia natumia sarafu ya mtandao nk.
Hivyo shida ni wakala.
Wewe ushawahi ona mfano wa Nigeria wanalalamika juu ya kuweka na kutoa hela kwenye kampuni za mrusi? Pia wenzetu Nchi yao imeendelea wanafanya malipo kwa kutumia bank transfer.
Mkuu sivutiwi na parimatch au sportpesa. User Interface yao hainifanyi kuwa comfortable kutafuta gamesParmatch
Okay beti kimya kimyaMkuu sivutiwi na parimatch au sportpesa. User Interface yao hainifanyi kuwa comfortable kutafuta games
Mkuu Paripesa HAIPO Tz kwasababu haijasajiliwa kufanya biashara Tz, haina vibali vya kufanya biashara hiyo hapa Tz na wala haina ofisi hapa Bongo kama ilivyo 888starz, 1xbet, 22bet
Hizo njia za kuweka kwa Mobile payment ni janja janja tu ndio maana leo zipo kesho hazipo.
Sio kwasababu unaweza ku access online basi ukadhani ndio inaruhusiwa kisheria...... hapana
Lazima isajiliwe, iwe na ofisi na domain name lazima iwe .co.tz na sio .com or whatever
Angalia kampuni kama Betpawa, Betway, Wasafibet Betika, mkekabet nk nk
Zote zina ofisi bongo zina tumia .co.tz na ni lazima ziweke namba za usajili wa bodi ya bahati nasibu Tz kwenye website zao, na wakikudhulumu unakwenda kuwashitaki bodi na unapata haki zako
Paripesa kama inafanya vizuri Nigeria ni kwasababu imesajiliwa huko kihalali na inafuata sheria za huko lakini sio Tz
Katika kampuni zote za Mrusi angalau mwenye unafuu ni 1xbet ukitumia wakala muaminifu ingawaje nayo bado ni njia ya panya vile vile.... unaweza kushinda parefu na hawakulipi na huna pa kwenda kuwashitaki maana wanafanya biashara kimagendo nje ya utaratibu
Kama nia yako ni kutoa TIP za ushindi basi endelea lakini kama nia yako ni kuwafanya wajiunge huko waje kutapeliwa kisa unapata cha juu acha huo uhuni
Mkuu nia ni kumpiga kanji. Na kuna siku TUNASHINDA na kuna siku tuna lose kama ambavyo kila mmoja hupitia.Mkuu Paripesa HAIPO Tz kwasababu haijasajiliwa kufanya biashara Tz, haina vibali vya kufanya biashara hiyo hapa Tz na wala haina ofisi hapa Bongo kama ilivyo 888starz, 1xbet, 22bet
Hizo njia za kuweka kwa Mobile payment ni janja janja tu ndio maana leo zipo kesho hazipo.
Sio kwasababu unaweza ku access online basi ukadhani ndio inaruhusiwa kisheria...... hapana
Lazima isajiliwe, iwe na ofisi na domain name lazima iwe .co.tz na sio .com or whatever
Angalia kampuni kama Betpawa, Betway, Wasafibet Betika, mkekabet nk nk
Zote zina ofisi bongo zina tumia .co.tz na ni lazima ziweke namba za usajili wa bodi ya bahati nasibu Tz kwenye website zao, na wakikudhulumu unakwenda kuwashitaki bodi na unapata haki zako
Paripesa kama inafanya vizuri Nigeria ni kwasababu imesajiliwa huko kihalali na inafuata sheria za huko lakini sio Tz
Katika kampuni zote za Mrusi angalau mwenye unafuu ni 1xbet ukitumia wakala muaminifu ingawaje nayo bado ni njia ya panya vile vile.... unaweza kushinda parefu na hawakulipi na huna pa kwenda kuwashitaki maana wanafanya biashara kimagendo nje ya utaratibu
Kama nia yako ni kutoa TIP za ushindi basi endelea hilo ni jambo la kheri kabisa, lakini kama nia yako ni kuwafanya wajiunge huko waje kutapeliwa kisa unapata cha juu acha huo uhuni
Mkuu ndio maana nasema haya ni makampuni ya kitapeliHii Hapa Mkuu ipo Tanzania. Mwezi uliopita kama unakumbuka ilikuwa kama ukishinda kuna makato ya kodi ila baada ya kushauriwa waliongea na serikali kodi ya makato ya ushindi wanalipa wao.
Mkuu tuufunge huu mjadalaMkuu nia ni kumpiga kanji. Na kuna siku TUNASHINDA na kuna siku tuna lose kama ambavyo kila mmoja hupitia.