Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

-jf4jet.jpg

WALE WA BASKETBALL ZA USIKU WA MANANE KWENYE PARIPESA 🏀

Booking Code: RGS69

Kama Huna Akaunti Ya PariPesa Jisajili Hapa 👇

https://cutt.ly/hwKXFbXz

https://cutt.ly/hwKXFbXz

Promo Code: TIPS2424

Tumia Promo Code TIPS2424 Ili Ujipatie Bonus Ya 300,000 Bure.
 
sisi tunabet na bookies nao wanabet. bookies nao wanachana sana tu. mfano mechi ya Ihefu vs. Yanga bookies wamechemka.

kinachowabeba bookies, kwenye mikeka yetu wanatafuta ichane mechi moja. sisi tunatafuta ziwin mechi zote.
Bookies hawajawahi chemka juzi barca alipewa odd 3 so utasema walichemka na hizo odd za yanga so we ukiona hivo fata kama unajiamini wao wanatumia hesabu.ww unatumia hisia.
 
YOUNG AFRICANS 💥💥💥💥👏👏👏👏👏👏

Winning Crew

Mnaotupangia idadi ya magoli ya kufunga mtachakaaa saana🤣🤣🤣
 
3 or more Goals in a row
Hapo inatakiwa ndani ya mchezo itokee timu ianze kufunga mfululizo bao 3 kabla mpinzani hajafunga goli
Kama ni hivyo hiyo option ni pesa ya bure 😁😁😁😁 mimi siku zote niliyua ni timu yoyote isipate goli 3
 
ama kweli tamaa mbaya mkeka wangu wote wa odd,2000 mancity unaniharibia dah na cash imefungwa dah jaman nalala kinyonge ten limeenda
 
Back
Top Bottom