MFALME WETU
JF-Expert Member
- Feb 1, 2021
- 4,071
- 10,028
Usijidanganye kubetia timu za Italy hasa Napoli na AC Milan kwa kutegemea chochote kitu kutoka kwao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usijidanganye kubetia timu za Italy hasa Napoli na AC Milan kwa kutegemea chochote kitu kutoka kwao
Atalanta naona kabisa.anaangusha hili trein ,hapa naombea napoli apate goal moja tu biashara ianze upya
Hta kwngu pia ila now ikopoaM PESA haifanyi kazi kwangu tu au ni pote?
Utalia vibaya sanaWakuu nataka nitie laki yangu hapo naomba ushauri
Atalanta haitabiriki. Inafunga sana na kufungwa sana
Nakuonea huruma ,utalia vibaya wewe
Shusha Codes tupite nazoWanaume mnakazi ya kubeti ovyoo kabisa
Yes ni kweli ila msimu huu Napoli amecheza mechi 5 nyumbani kwake na ameshinda zote kipindi cha pili. Atalanta wakirudi hawatakuwa aggressive kama mwanzo naamini hii mechi inaweza kuisha 1 kwa 2 au 2 kwa 2.Usijidanganye kubetia timu za Italy hasa Napoli na AC Milan kwa kutegemea chochote kitu kutoka kwao
Ovyo kabisa kafanye kaziShusha Codes tupite nazo
Ushapata bwana wawa kukutoa genye.?Wanaume mnakazi ya kubeti ovyoo kabisa
Nilikwambia na genye lini?Ushapata bwana wawa kukutoa genye.?
Kabisa Jombaa.Atalanta haitabiriki. Inafunga sana na kufungwa sana
Yes ni kweli ila msimu huu Napoli amecheza mechi 5 nyumbani kwake na ameshinda zote kipindi cha pili. Atalanta wakirudi hawatakuwa aggressive kama mwanzo naamini hii mechi inaweza kuisha 1 kwa 2 au 2 kwa 2.
Kazi ganiOvyo kabisa kafanye kazi
Zipo nyingi sanaKazi gani
Ko unafikiri kubeti sio kazi sio?Zipo nyingi sana
Mind your business,kwanza huu uzi haukuhusu.Wanaume mnakazi ya kubeti ovyoo kabisa
We unaona kazi iyo?Ko unafikiri kubeti sio kazi sio?