Anonymous77
JF-Expert Member
- May 29, 2022
- 589
- 1,515
Toa kwa kutumia crypto mkuu jaribu USDT kadhaa ikikubari toa zoteNili deposit 50k ikafika fasta tu
Nikabet ikafika kama 600k
Nikatoa laki haijafika mpaka leo
Nikaja nikatoa tena 50k nayo haijafika hadi leo hii
Na hapo tume chat nao na kutmiana email utadhani naomba nini sijui
Balance yangu ya 400k ipo sibet wala nini hadi nihakikishe nikitoa zinatoka ndio nitatoa