Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kuna mchezaji kapata changamoto ya kiafya kwa mujibu wa flashscore text commentary
 
Kama hujui maana ya neno mwaka wa tabu basi waulize the citizen man city.
Yawezekana hata sisi simba au yanga tukapata matokeo kwa city hii
 
Muombe Man U goli over 1.5 odd 1.66
Muombe Madrid goli over 1.5 odd 1.63
Liv&City omba kona over 10.5 odd 1.8
Mfuate Spurs kwa Dc ya 1x odd 1.26
Game Chelsea No Red card odd 1.14
Jumla ODD 6+

Relax kisha agiza kinywaji chako bariiidi ili uje kunishukuru/kunilaani baadae 😂😂😂

Stake what you can afford to lose 🙏
✅✅
 
Leo nuksi tupu. Nimebeti mikeka 5 yote Imechana timu moja.
Sasa huu wa sita imebaki 1 ya fiorentina na yenyewe ndio hivyo ten.
Screenshot_20241201-205908_MelBet.jpg
 
Au mvua?

Okay sasa tulio bett inakuwaje hapo
Mchezo utarudiwa, ila kama mchezo usiporudiwa ndani ya saa 48, utarudishiwa pesa yako na kama uliweka timu zaidi ya moja basi watapunguza odds za mchezo ulioahirishwa na kulipwa pesa za odds kwa timu ulizoshinda.
 
Okay sawa nashukuru kwa ufafanuzi.

Kuna mwamba aliweka code nyingi nyingi kule juu nikachukua nne saa zimekufa tatu ila kuna treni linakimbia sana karibu lifike Kg. Moja wapo ya hio match
 
Okay sawa nashukuru kwa ufafanuzi.

Kuna mwamba aliweka code nyingi nyingi kule juu nikachukua nne saa zimekufa tatu ila kuna treni linakimbia sana karibu lifike Kg. Moja wapo ya hio match
Hii mechi ya Inter itaoa ove 1.5 kweli maana kabakia yeye tu nichukue pesa.
 
Back
Top Bottom