Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Attachments

  • Recorder_12122024_083154.jpg
    Recorder_12122024_083154.jpg
    172.3 KB · Views: 3
Kuanzia leo hadi tatehe 24 tufanyeni msako wa hela ya Xmass kwa mtaji wa buku tujaribu kuzungusha ROLLOVER ya wastani wa odd 2, kwamana ya kwamba tucheze na odd 1.5 hadi odd 2 na point
Malengo yawe 1M+

Weka buku tu kwenye kambuni ambayo huitumii kubet kila siku halafu tuanze safari

Sio kazi RAHISI hata kidogo na inataka moyo kuvumilia kamtaji kakinona kila odd utaiona NGUMU😂
LAKINI kujaribu sio KUSHINDWA
Hata hivyo mbona tuna liwa tu kila siku..... why not

Humu manguli wa odd 1.5 hadi 2 wapo wengi
Leo binafsi jioni nitaanza kwa kutoa odd -2 halafu siku zinavyo kwenda wadau wengine tutashauriana tutoke vipi

Nawasilisha
 
Sijawahi ieleweke hii inachezwaje hebu leta mwongozo mkuu
 
Benficaa
 
Attachments

  • Screenshot_2024-12-12-09-32-52-363_com.sportybet.android.gp.tz.jpg
    Screenshot_2024-12-12-09-32-52-363_com.sportybet.android.gp.tz.jpg
    138.8 KB · Views: 4
  • Screenshot_2024-12-12-09-44-23-927_com.sportybet.android.gp.tz.jpg
    Screenshot_2024-12-12-09-44-23-927_com.sportybet.android.gp.tz.jpg
    137.5 KB · Views: 3
Ukifika siku ya 10 kanji analamba mtaji wote ulodunduliza kwa vumbi na jasho
Mkuu ukifika day 10 ni mafanikio makubwa mmno
Hapo uwe unajiongeza hata ukifika day 5 ukaoma inatosha unavuta hela yako

Nimewahi kwenda hadi day 9 nikavuta mkwanja wangu saafi kwa stake ya 10k

Ila mara kibao nishapigwa ama ukianza tu, au ukifika day 2 au 4 wanapitanayo

Bahati na sibu
 
Mkuu Mbona nikijaribu kukucheki pm imagination. Ningeomba Labda unicheki kwa pm
 
Mkuu ukifika day 10 ni mafanikio makubwa mmno
Hapo uwe unajiongeza hata ukifika day 5 ukaoma inatosha unavuta hela yako

Nimewahi kwenda hadi day 9 nikavuta mkwanja wangu saafi kwa stake ya 10k

Ila mara kibao nishapigwa ama ukianza tu, au ukifika day 2 au 4 wanapitanayo

Bahati na sibu
Mkuu nimejaribu Mara kadhaa kukucheki imagination. Ningeomba Labda unicheki kwa pm yangu
 
Back
Top Bottom