Mr Q
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 18,046
- 38,598
Meridianbet na sometimes premierbet walikuwa na huo upumbavu miaka ya nyuma. Hasa hasa meridian. Unastake 1000 unakuta wameweka shilingi 10. Na kurebet miaka hiyo hakukuwepo wala kushea code. Na kuanza uoya ilikuwa shughuli kama unakumbuka zile error za weekendKuna kitu kimenitokea leo kwenye mechi ya Simba.
Nilimpa Simba Win nikaweka hela yote kwenye akaunti, nikathibitisha haipo. Baadae nakuta wameniwekea nimebet 500