Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mzigo huo
1000251361.jpg
 
Hii kazi ni tough sana poleni wapambanaji nayajua machungu yenu.

Lakini leo ukiachana na Atalanta so far so good mechi zilizobaki nyingi zimetoa magoli.

Kwa wale waliobeti magoli bila shaka watakuwa wamepata vidusko vya chai asubuhi.

Ila kama uliweka mkeka kwa kufuata mahaba hususan we jamaa wa "Mbappe score at any time" lazima biashara imekuendea vibaya.

Halafu kwa chini nimeona nyingine eti "Antony score at any time" nimeisoma nikiwa nacheka sana.
 
Stake what you can afford to lose 🙏🙏🙏
 

Attachments

  • B6972E79-59CA-4081-B081-2316A4C7A038.png
    B6972E79-59CA-4081-B081-2316A4C7A038.png
    157.3 KB · Views: 1
Back
Top Bottom