Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Niliwahi kubeti Kupitia App ya betway, nikaweka stake vizuri Bahati nzuri mkeka ukatili. Kutoa pesa ikawa kasheshe, nilikaa kama wiki nikaona muamala wa pesa umeingia wanipa pesa.
Sikurudia Tena kubetia hiyo kampuni đźš®
Betway saiv wameimalisha huduma zao sana ukushinda wanafanya kama sportpesa wanakutumia sms hata kama umezima data kwa njia ya kawaida kama umeshinda nakutoa pesa wako faster
 
Betway saiv wameimalisha huduma zao sana ukushinda wanafanya kama sportpesa wanakutumia sms hata kama umezima data kwa njia ya kawaida kama umeshinda nakutoa pesa wako faster
Tatizo lao mhamala kusoma mpaka mechi iishe, mfano umebet over 2.5 na magoli yakapatikana mapema hapo subiri mpaka mechi iishe ndio upate sms ya kushinda na kuwekewa hela yako.

Sportybet hawana izo pigo, wao ukiweka 3+ au 2up n.k matokeo yakipatikana hata kama game ipo dakika ya 10 mhamala wako unaingiziwa
 
Hapana mbona nawao wako faster kama simba juzi nilimpa gori mbili na niliweka mechi moja gari la pili simba walivyopata hata kabda mechi kuisha wakanitumia sms ya ushindi mi ndo kampuni yangu jalibu mzee utanip mlejesho
 
Labda kuna option na option.. mimi nilcheza build a bet.. ile unabet options nyingi kwenye mechi moja. Mimi na mshkaji wangu jana tumecheza game ya newcastle vs brighton. Tumebet isak apige shot on target 2+ na pia game itoe yellow cards 2+. Mimi nimeweka mkeka sportybet na yeye betway

Dakika ya 30 tu option zetu zimetoa ila wa sportybet nikawekea hela yangu hapo hapo na jamaa yangu anatumia betway aliwekewa hela yake baada ya mechi kuisha
 
twrw35.jpg

3 ODDS ON PARIPESA

Code👉 LVZEN

Jisajili PariPesa Hapa 👇

https://cutt.ly/hwKXFbXz

https://cutt.ly/hwKXFbXz

Promo Code👉 TIPS2424

Tumia Promo Code👉 TIPS2424 Upate Bonus Mara Tu Utakapo Deposit.
 
Ukijakubisha uje na data
Kampuni ya kubeti ya 888bet Tanzania ndio kampuni tajiri zaidi ya betting sio Tanzania tu bali hata duniani . Kampuni chini ya Port achia inamilikiwa na 888holding africa Chini ya kampuni ya Evoce Ya nchini Gilbatari

🔵Kampuni hii ilianzishwa mwaka 1997.
🔵 Mwaka 2022 walifanikiwa kununua kampuni ya Willium hill iliyoanzishwa 1934 London kwa dau la £2.2 billion

🔵 kwa mujibu wa wikipedia wanaonesha mapato ya 888holding, US$1,710.9 million (2023)

Operating income

US$33.0 million (2023)

Net income
US$(56.4) million (2023)[Websitewww.evokeplc.com

🔵 888bet Tanzania nadhani ndiyo kampuni pekee ambayo haina limiti ya ushindi yani odds utakazo weka hakuna ukomo hata ushinde Quadrilion

🔵 kampuni ya 888bet ndio kampuni pekee yenye jackpot ya bure ushindi wa zaidi ya milion 500🤣

🔵 Kampuni ya 888bet inajitangaza katika kila website kubwa kwa ndogo hata hapa jf wanajitangaza huku wakimwaga mamilion ya matangazo

Hivyo 888bet ndio kampuni tajiri zaidi kulinganisha na kampuni nyingine
Acha fix wewe. Marekani kuna kampuni kubwa zaidi: Entain, Flutter Entertainment.....
 
View attachment 3257575
3 ODDS ON PARIPESA

Code👉 LVZEN

Jisajili PariPesa Hapa 👇

https://cutt.ly/hwKXFbXz

https://cutt.ly/hwKXFbXz

Promo Code👉 TIPS2424

Tumia Promo Code👉 TIPS2424 Upate Bonus Mara Tu Utakapo Deposit.
-cqv4pc.jpg

1.1 MILLION BOOOOOOOMâś…âś…âś…âś…đź’Żđź’Ż

3 ODDS BOOOM âś…âś…âś…âś…âś…

Jisajili PariPesa Hapa 👇

https://cutt.ly/hwKXFbXz

https://cutt.ly/hwKXFbXz

Promo Code Weka👉 TIPS2424

Tumia Promo Code TIPS2424 Upate 300,000. Deposit Upate Bonus.
 
Jana katika mkeka wangu game moja haikuchezwa. Kwa sport pesa huwa inakuwaje kwa game ikiwa postponed?
 
Jana katika mkeka wangu game moja haikuchezwa. Kwa sport pesa huwa inakuwaje kwa game ikiwa postponed?
Kama itachezwa ndani ya saa 24 watakusubirisha mpaka ichezwe ili mmalizane.
Kama ikijulikana ni zaidi ya hapo, hizo odds za hiyo timu wataziondoa kabisa watakulipa kwa zilizocheza.
 
Back
Top Bottom