nitonye
JF-Expert Member
- Dec 18, 2011
- 7,342
- 3,885
kwa risiti moja ni game zaidi ya moja na maxmum ni 5. Ila kwa risiti moja kama ni voda ni normal pekeyake na handcap peke yake. Leo nimempa atletco,auxere na fiorentina.
Ahsante sana mkuu ngoja nianze kuweka mzigo