Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,006
- 13,281
City mazafanta.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mbuzi kashafanya yake amekula mikeka yangu mitatu bila huruma.
Gundu la Rahimu limehamia kwangu
Huyu muhindi asipofungua benk mwezi huu sijui!
Nilikua nakutafuta C.E.O lakini nimepata jibu why ulikua husomeki.
aisee ni maafa 2 kwa kwenda mbele. Ila najua ataingia tu kwenye 18 zangu. Kwenye uefa hanaga ujanja atakamuliwa tu.
city leo chana mikeka ***** zake
kashindwa funga hata goli moja
Asee mimi hii biashara nmepumzika kwa mda.... upepo wa kanjibahi ulinikata japo mwanzo nlimpiga sana......
Ndio mpira ulivyo kaka, usikate tamaa hasira zako zote utamaliza kesho.
city leo chana mikeka ***** zake
kashindwa funga hata goli moja
Wazee za kulalia ni:
Napoli, feeyenord,Atl. madrid.
Hahahaha basi sawa usikate tamaa.
Asee mimi hii biashara nmepumzika kwa mda.... upepo wa kanjibahi ulinikata japo mwanzo nlimpiga sana......
hapa nasubiria ka mkeka ka mwisho nilikatupia sa 2 kasoro. Nimempa win fiorentina,udinese na napoli. Hadi sasa namsubiria napoli anitoe tongotongo
hapa nasubiria ka mkeka ka mwisho nilikatupia sa 2 kasoro. Nimempa win fiorentina,udinese na napoli. Hadi sasa namsubiria napoli anitoe tongotongo
Mimi nilimpa fiorentina,swansea,nacional,napoli,real&atletco. Mzee wa mikeka mirefu
Agiza kinywaji kabisa umeshinda hiyo!
hahaha, mpira unadunda shkhe. We si umeona kilichomtokea sundland a.k.a kiboko ya vigogo leo?