Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Duh kupelekwa mbele mech ya man city na everton zimehathiri hand cap yangu

Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
 
mkeka wangu wa leo
psg, ac milan , hannover96 na osassuna
hahahahah rahimu mwenzio siku hizi mwenzio namvua nguo kanjibah kama amesimama vile
 
Wakuu hand cap kwa dijon,psg na ac milan kwa buku 10 napata 54k

Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
 
mkeka wangu wa leo
psg, ac milan , hannover96 na osassuna
hahahahah rahimu mwenzio siku hizi mwenzio namvua nguo kanjibah kama amesimama vile

Afazali manake mwenzako kaniformat huku mweupee!
 
Back
Top Bottom