Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mimi nimeamua kucheza live nawekea timu zangu chache dau lote
 
Mimi nimeamua kucheza live nawekea timu zangu chache dau lote

live uhakika lakini inataka uwe na mtaji wa kutosha kupata pesa nzuri/nyingi, na ushauri wangu cheza live kipindi cha pili dk kuanzia ya 70. weka mzigo ukiona 2-0 au 0-2, au 3-1 au 1-3 , namaamnisha weka mzigo kwenye clear ushindi unao-onekana.

ukiwa na mtaji $1000, unavizia pale kwenye clear wining/winner, unaweka $1000 unapata $1020 / $1030 / $1050 , unaweza piga hadi $500 kwa siku, yani ukipiga 1050 manake faida $50 , mara 10 unakuwa na $500!
 
league za watoto uingereza hasara tupu, mkeka utachanika hazitabiriki, timu yeyote inaweza shinda, zimenipa hasara sana! nimeapa kutoziweka kabisa.....!!!! anyway good luck

ni kweli kabisa hakuna ligi ngumu kutabiri kama daraja la 1 hadi la 4 uingereza. Game zote huwa 50/50 sema huwa tunaenda nao hivyo hvyo
 
Dah live ni nzuri sana ila leo wameniramba kitimu kimoja kimeniharibia hela yangu.
 
ni kweli kabisa hakuna ligi ngumu kutabiri kama daraja la 1 hadi la 4 uingereza. Game zote huwa 50/50 sema huwa tunaenda nao hivyo hvyo

Kuna wengine hao akina auxerre, estac troyes, nimes, chamois niort. (France ligue 2) wana balaa nao.
 
Kuna wengine hao akina auxerre, estac troyes, nimes, chamois niort. (France ligue 2) wana balaa nao.
afadhali ligue 2 ya france lakini sio hzi za uingereza
ni kweli kabisa hakuna ligi ngumu kutabiri kama daraja la 1 hadi la 4 uingereza. Game zote huwa 50/50 sema huwa tunaenda nao hivyo hvyo
yani hizi timu hazinaga eti yupo home, hakuna yupo juu au chini, yeyote anapigwa
Hhaah! watu washa haribu!
hawana maana akina chalton.
 
Leo handcap kwa atletico kamakawa hapa vila,pale costa kule ada touran,huku diego. Chelsea eto'0 pancha,hazard pancha, ivanoviç kala ban.
 
teh teh teh watu mna roho ngumu, game ya atletico madrid-chelsea kuiwekea mzigo ya win lose sikuthubutu, lbd ningeiwekea mzigo wa under 2.5

game ilikua mikononi mwa atletico kabisa. Muda wote wameharibu kupiga krosi wakati fowad zao ni fupi
 
ah..!ngoja leo nieke wa kujilipua unaopumua
set 7397
18-4
25-4
26-6
29-6
 
Back
Top Bottom