Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

ImageUploadedByJamiiForums1402904662.507411.jpg


In this world nothing is certain than Tax and Death.
 
mpe nigeria , ureno na ghana najua ndo watashinda otherwise all the best gamba wa lumumba.
Haya nyie madogo huku
Hembu niambieni ya kesho,
leo sina salio.

Mnipe majibu mie nifanye kuingiza kwenye simu tu.
 
mkuu sergey mkeka wako utaharibika leo lazima wareno washinde UJERUMANI uenda wakaaga mapema sana fainali hizi.
Haya nyie madogo huku
Hembu niambieni ya kesho,
leo sina salio.

Mnipe majibu mie nifanye kuingiza kwenye simu tu.[/QU]

Hizo zilizobakia 3 chin ndo za leo kwahyo ww cheki tu huweke hapo nimebase kwenye magol yatafika mawili na hyo nyingne mjeruman atashinda huo mkeka niliweka toka jana unaendelea leo
View attachment 165172
 
Last edited by a moderator:
Mkuu nimecheza fod4 yaan nishinde timu 4 Kat ya 6 ili walau nitetee ela yangu mkuu
 
Yaani nimeliwa ile mbaya.
Nimeweka dollar zangu iplay nao wako off air
 
Mkuu nimecheza fod4 yaan nishinde timu 4 Kat ya 6 ili walau nitetee ela yangu mkuu

fold 4 ukishinda hizo nne afu uka lose mbili hela yako inarudi bila profit?
na je ukishinda tano na ukalose moja inakuaje?
 
fold 4 ukishinda hizo nne afu uka lose mbili hela yako inarudi bila profit?
na je ukishinda tano na ukalose moja inakuaje?

Iko hiv kaka,inategemea na odds ya zile ulizopata kaka ukitoa ile moja uliyokosa kama odds ni kubwa na ukapata zile nne bas unakuwa unarudisha chako ila kama ni ndogo bas unakuwa unapata chin ya kile kias ulichoweka hapo kwa kupata 4 kati ya 6 ila kama ukipata 5 bas unakuwa unapata zaid ya ulichokiweka,kwa mfano me nilicheza lucky 15 kwenye timu nne nikakosa moja ile ya spain niliweka dola 4.50 ningeshinda zote ningepata dola 20 ila nikapata dola 6.50 kwa vile nimekosa moja uzur wa hiz system ni kwamba zinakufanya ubaki kwenye game maana faida cyo kubwa ila inalinda msingi husiishe wote mkuu

51.PNG
 
Jana sikucheza! Mm natumia cm hivyo m-pesa inagoma hadi leo! Lakin bora mana ningelia leo! Lakini leo ushindi ni kwa
"iran" na"usa" nawakilisha
 
mkuu sergey mkeka wako utaharibika leo lazima wareno washinde UJERUMANI uenda wakaaga mapema sana fainali hizi.


hahahaha kaka DUA lako limeenda kombo kaka,PEPE analeta mpira wa mtaan bana,pole kaka husipende kuwekea mkeka timu unayoipenda bal angalia uwezo wa timu na ondoa upenzi maana hii ni biashara kk
 
Masikini weee....
 

Attachments

  • 1402945046246.jpg
    1402945046246.jpg
    74.8 KB · Views: 134
Daaah yaani hadi leo am the best loser timu ninayoiwekea lazima ipigwe
 
Back
Top Bottom