Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Yaani nilikula hela nikampa win portugal hela imeenda, thanks kwa Algeria amerudisha robo tatu ya hela iliyoenda
 
Yaani hadi sasa mkeka wangu wa timu Saba sita zimeshinda nasubiria moja tu ishinde nile hela yangu
 
Nampa Croatia ushindi maana ana dau kubwa sana, huyu Brazil dau lake dogo sana
 
kuna jamaa kaniambia hivyo kasema ukiingia kwenye acount yako ya meridian kama ushajisajili kuna namna ya kudraw via m pesa. Nadhani kila kitu kipo ktk acount

Mkuu C.E.O something is not right here, niliweka mzigo kwa Mara ya kwanza jana Tshs 10,000 ( nili Bet normal kwa M BET) Odds zilikua kama hivi
Cameron lose 1.05
Australia lose 1.35
na imetokea nimepatia, hela niliyotumiwa na MBET ni Tshs 14,175 ina maana nili risk 10,000 ili nipate 4175 tu? ebu nielezee hapa.... thnx in advance
 
Back
Top Bottom