Rockcity native
JF-Expert Member
- Dec 31, 2012
- 2,174
- 1,445
- Thread starter
- #2,121
Mkeka wako ulimpa nani na nani?
Kwenye mechi ya Algeria na South Korea wampa nani?
mi nimepa korea lakini game iko 50/50
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkeka wako ulimpa nani na nani?
Kwenye mechi ya Algeria na South Korea wampa nani?
Hapana
Inakuwaje hiyo ya kuweka dau via mpesa,hebu iweke wazi kidogo!
Yaani kudeposit hela si lazima uende kule vubandani waweza weka kwa mpesa.
Namba yao ya malipo ni 170066
Reference ni jina lako
Akaunti ninayo kule,nkipata hela naitolea wapi sasa? hadi kibandani?
Mkuu katika kuweka mzigo, hela gani ndefu uliyowai kupiga?yah hadi kibandani. Yan kudeposit kwa m-pesa ila kudraw hadi kibandani
Mkuu katika kuweka mzigo, hela gani ndefu uliyowai kupiga?
Yaani hadi sasa mkeka wangu wa timu Saba sita zimeshinda nasubiria moja tu ishinde nile hela yangu
Yaani hadi sasa mkeka wangu wa timu Saba sita zimeshinda nasubiria moja tu ishinde nile hela yangu
Akaunti ninayo kule,nkipata hela naitolea wapi sasa? hadi kibandani?
Kaka mi nakuombea ule mpunga ila mi hii wedi kapu nimeieka pending asee!
kuna mdau kanambia hata kutoa unaweza via m-pesa
kuna mdau kanambia hata kutoa unaweza via m-pesa
ceo naomba maelekezo zaidi hapo.unatumia code zipi?
kuna jamaa kaniambia hivyo kasema ukiingia kwenye acount yako ya meridian kama ushajisajili kuna namna ya kudraw via m pesa. Nadhani kila kitu kipo ktk acount