Kada
Senior Member
- May 3, 2009
- 164
- 27
View attachment 167312
kwenye my account ndio utapata hii kitu unaweka hela afu unachagua wapi waenda withdraw either mpesa au vibandani, kwa hili sasa hawataniona huko vibandani kwao
Sorry mkuu, wakati wa kufanya registration ile box ya PROMO CODE unajaza kitu gani? Nimekutana nayo hiyo wakati najisajili. Nikaamua kusitisha zoezi & nikawauliza via e-mail, naona kimya sikujibiwa mpaka leo.