Ukweli ni kwamba japo maandamano yalizuiwa kwa nguvu zote na Polisi, taswira ya rais Samia imeendelea kuathirika mbele ya watanzania na jumuiya ya kimataifa.
Katika hotuba ya rais Samia ya kufunga tamasha la kitamaduni mjini Songea mtu angeweza kuona kuwa hakuwa na ile sauti na hisia zake za kujiamini ndani kama kawaida.
Sauti yake ilikuwa haina utulivu na nguvu kama tulivyozoea. Naamini maandamano na kamatakamata vimemweka rais Samia kwenye stress iliyosababisha a change in mood.