lutemi
JF-Expert Member
- Dec 24, 2013
- 1,748
- 1,388
Mtazamo wangu wa hiki Kinachoendelea naona kinaratibiwa na CCM wenyewe na wamefanikiwa sana kumchonganisha na wananchi. Kama Rais angepata uweredi kidogo wa kuwasikiliza Wapinzani tangu awali nakuhakikishia angependwa kuliko mtangulizi wake. Hajui ndani ya chama chake wanamtengenezea zengwe achukiwe. Kumbuka yeye ni mtu toka visiwani na hii Tanganyika ni dude kubwa mno. 1. Angepaswa alete katiba mpya haraka sana 2. COVID-19🦠😷angewatoa Bungeni 3. Angefanikisha utawala wa sheria . Hapa asingekuwa na wa kumpingaHuko Songea si ndio kule kulifuka moshi ambao mpaka leo haujulikani ulitoka wapi na chanzo chake ninini!?