Mikiki ya kisiasa imeathiri sana mood ya Rais Samia, hayo yameonekana jana huko Songea

Mikiki ya kisiasa imeathiri sana mood ya Rais Samia, hayo yameonekana jana huko Songea

Washauri wake Walimuingiza chaķa....yale maandamano yangeruhusiwa wala watu pia wasingejitokeza wengi wa kuweza kuleta vurugu.

Pia polisi kama wangekuwa makini zaidi wakayalindq kwa kutumi hiyo nguvu waliyotumia kuyazuia, huyu mama heshima yake ingeongezeka japo kidogo.
Umeongea point. Wangewaruhusu wala isengeleta shida ila kitendo cha kuzuia ni kuzid kujichimbia kaburi. Washauri wanazingua sana
 
Ukweli ni kwamba japo maandamano yalizuiwa kwa nguvu zote na Polisi, taswira ya rais Samia imeendelea kuathirika mbele ya watanzania na jumuiya ya kimataifa.

Katika hotuba ya rais Samia ya kufunga tamasha la kitamaduni mjini Songea mtu angeweza kuona kuwa hakuwa na ile sauti na hisia zake za kujiamini ndani kama kawaida.

Sauti yake ilikuwa haina utulivu na nguvu kama tulivyozoea. Naamini maandamano na kamatakamata vimemweka rais Samia kwenye stress iliyosababisha a change in mood.
Kampen za uchaguzi bado hazijafika. Mta mboost na urojo wa forodhan na supu ya pwezq. Utasikia, Nimechoka nishikien Mic, Kabudi huko wapi marazia kampen. Wacha nikapumzike kizimkaz
 
Ukweli ni kwamba japo maandamano yalizuiwa kwa nguvu zote na Polisi, taswira ya rais Samia imeendelea kuathirika mbele ya watanzania na jumuiya ya kimataifa.

Katika hotuba ya rais Samia ya kufunga tamasha la kitamaduni mjini Songea mtu angeweza kuona kuwa hakuwa na ile sauti na hisia zake za kujiamini ndani kama kawaida.

Sauti yake ilikuwa haina utulivu na nguvu kama tulivyozoea. Naamini maandamano na kamatakamata vimemweka rais Samia kwenye stress iliyosababisha a change in mood.
Uko sahihi lakini ameyataka mwenyewe.
 
Ndio huko huko wamekata tu maeneo ila ndio huko lindi ntwara ndio huko huko
Hakuna kitu kama hiko,Lindi ni Lindi na mtwara ni mtwara.

Kama mikoa imekatwa mingi tu lakini hatuhalalishi kuwa mkoa Fulani kwa sababu zamani ulikuwa ni mmoja na mkoa Fulani basi hadi Leo ni kitu kimoja kilekile.

Geita na Mwanza,simiyu na shinyanga,Manyara na Arusha,Njombe na Iringa,Songwe na Mbeya,Lindi na Mtwara. Leo Kila mkoa unajitegemea
 
Swali ni jepesi tu" nani anateka na kuua watu"
Jibu lake mbona jepesi tuu.

Ushahidi wa mazingira unaonyesha wazi kuwa hao "manjago" wetu wanahusika pakubwa.

Ushahidi ni kuwa, ni kwanini Rais hataki kuunda chombo huru Cha uchunguzi wa utekaji huo??😳
 
Hakuna kitu kama hiko,Lindi ni Lindi na mtwara ni mtwara.

Kama mikoa imekatwa mingi tu lakini hatuhalalishi kuwa mkoa Fulani kwa sababu zamani ulikuwa ni mmoja na mkoa Fulani basi hadi Leo ni kitu kimoja kilekile.

Geita na Mwanza,simiyu na shinyanga,Manyara na Arusha,Njombe na Iringa,Songwe na Mbeya,Lindi na Mtwara. Leo Kila mkoa unajitegemea
Ndio hivyo hivyo umeeleweka mkuu kwa hio ni ntwara
 
Kwamba ulitaka iweje ? Kuna mtu yoyote mwenye akili timamu au ubinadamu anayeshangilia yanayoendelea ?; Nadhani ingekuwa News kama angekuwa ni mtu mwenye furaha na Bashasha...
 
Back
Top Bottom