Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,307
- 25,932
Ule ulifuka Ruangwa, Lindi MkuuHuko Songea si ndio kule kulifuka moshi ambao mpaka leo haujulikani ulitoka wapi na chanzo chake ninini!?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ule ulifuka Ruangwa, Lindi MkuuHuko Songea si ndio kule kulifuka moshi ambao mpaka leo haujulikani ulitoka wapi na chanzo chake ninini!?
Issue sio maandamano....Washauri wake Walimuingiza chaķa....yale maandamano yangeruhusiwa wala watu pia wasingejitokeza wengi wa kuweza kuleta vurugu.
Pia polisi kama wangekuwa makini zaidi wakayalindq kwa kutumia hiyo nguvu waliyotumia kuyazuia, huyu mama heshima yake ingeongezeka japo kidogo.
Elimu ya Ngumbaru 👍🙏🙌Sasa Ruangwa ipo mtwara? Alafu unaweza kuta wewe unajiita msomi.
Saint Ivuga samahani mkuu. Kuna tukio la mwalimu mstaafu kule Same lililetwa huku miaka minne au mitatu iliyopita, amepotea mwaka 2006. Ktk jitihada za kuandaa kaburi baada ya mtu kufariki nyumbani kwake, walimkuta kumbe kashazikwa siku nyingi.Anajiendekeza tu haya yote kayataka yeye
Ni RuangwaHuko Songea si ndio kule kulifuka moshi ambao mpaka leo haujulikani ulitoka wapi na chanzo chake ninini!?
Ok sawa asante kwa kuniweka sawa ila huko huko mitaa hiyo hiyoIle ilikuwa Ruangwa Ntwara Ndugu sio Songea !😳
Ok sawaNtwara sio Songea mkuu
Ameanza kujuwa kucopy and paste ya mwendazake haitamsaudia inabidi ajitafute mwenyewe. Na kujitafuta uzeeni sio mchezo.Ukweli ni kwamba japo maandamano yalizuiwa kwa nguvu zote na Polisi, taswira ya rais Samia imeendelea kuathirika mbele ya watanzania na jumuiya ya kimataifa.
Katika hotuba ya rais Samia ya kufunga tamasha la kitamaduni mjini Songea mtu angeweza kuona kuwa hakuwa na ile sauti na hisia zake za kujiamini ndani kama kawaida.
Sauti yake ilikuwa haina utulivu na nguvu kama tulivyozoea. Naamini maandamano na kamatakamata vimemweka rais Samia kwenye stress iliyosababisha a change in mood.
Ilikuwa Ruangwa -Lindi.Huko Songea si ndio kule kulifuka moshi ambao mpaka leo haujulikani ulitoka wapi na chanzo chake ninini!?
Kakimbia mji, ukweli ni huu, Chadema wana nguvu sana sana TZ, nilichoshuhudia jana sina shaka ht kdg, hawa jamaa wakipewa haki sawa na CCM hakika watalia mchana kweupe....Ukweli ni kwamba japo maandamano yalizuiwa kwa nguvu zote na Polisi, taswira ya rais Samia imeendelea kuathirika mbele ya watanzania na jumuiya ya kimataifa.