Weka pichaUkweli ni kwamba japo maandamano yalizuiwa kwa nguvu zote na Polisi, taswira ya rais Samia imeendelea kuathirika mbele ya watanzania na jumuiya ya kimataifa.
Katika hotuba ya rais Samia ya kufunga tamasha la kitamaduni mjini Songea mtu angeweza kuona kuwa hakuwa na ile sauti na hisia zake za kujiamini ndani kama kawaida. Sauti yake ilikuwa haina utulivu na nguvu kama tulivyozoea. Naamini maandamano na kamatakamata vimemweka rais Samia kwenye stress iliyosababisha a change in mood.
Huko Songea si ndio kule kulifuka moshi ambao mpaka leo haujulikani ulitoka wapi na chanzo chake ninini!?Ukweli ni kwamba japo maandamano yalizuiwa kwa nguvu zote na Polisi, taswira ya rais Samia imeendelea kuathirika mbele ya watanzania na jumuiya ya kimataifa.
Katika hotuba ya rais Samia ya kufunga tamasha la kitamaduni mjini Songea mtu angeweza kuona kuwa hakuwa na ile sauti na hisia zake za kujiamini ndani kama kawaida. Sauti yake ilikuwa haina utulivu na nguvu kama tulivyozoea. Naamini maandamano na kamatakamata vimemweka rais Samia kwenye stress iliyosababisha a change in mood.
Kwani wewe mtoto wako mtukutu, akikosa maadili , mara kaiba kuku wa mtu, mara mlevi, mara kamtia binti wa shule mimba, furaha unaitoa wapi!Ukweli ni kwamba japo maandamano yalizuiwa kwa nguvu zote na Polisi, taswira ya rais Samia imeendelea kuathirika mbele ya watanzania na jumuiya ya kimataifa.
Katika hotuba ya rais Samia ya kufunga tamasha la kitamaduni mjini Songea mtu angeweza kuona kuwa hakuwa na ile sauti na hisia zake za kujiamini ndani kama kawaida. Sauti yake ilikuwa haina utulivu na nguvu kama tulivyozoea. Naamini maandamano na kamatakamata vimemweka rais Samia kwenye stress iliyosababisha a change in mood.
Ntwara sio Songea mkuuHuko Songea si ndio kule kulifuka moshi ambao mpaka leo haujulikani ulitoka wapi na chanzo chake ninini!?
Ile ilikuwa Ruangwa Ntwara Ndugu sio Songea !😳Huko Songea si ndio kule kulifuka moshi ambao mpaka leo haujulikani ulitoka wapi na chanzo chake ninini!?
Na badoUkweli ni kwamba japo maandamano yalizuiwa kwa nguvu zote na Polisi, taswira ya rais Samia imeendelea kuathirika mbele ya watanzania na jumuiya ya kimataifa.
Katika hotuba ya rais Samia ya kufunga tamasha la kitamaduni mjini Songea mtu angeweza kuona kuwa hakuwa na ile sauti na hisia zake za kujiamini ndani kama kawaida. Sauti yake ilikuwa haina utulivu na nguvu kama tulivyozoea. Naamini maandamano na kamatakamata vimemweka rais Samia kwenye stress iliyosababisha a change in mood.
Anajiendekeza tu haya yote kayataka yeyeUkweli ni kwamba japo maandamano yalizuiwa kwa nguvu zote na Polisi, taswira ya rais Samia imeendelea kuathirika mbele ya watanzania na jumuiya ya kimataifa.
Katika hotuba ya rais Samia ya kufunga tamasha la kitamaduni mjini Songea mtu angeweza kuona kuwa hakuwa na ile sauti na hisia zake za kujiamini ndani kama kawaida. Sauti yake ilikuwa haina utulivu na nguvu kama tulivyozoea. Naamini maandamano na kamatakamata vimemweka rais Samia kwenye stress iliyosababisha a change in mood.
Ooh kumbe you noticed?Off course, Rais hakutaraji haya, ya kiburi cha kina mbowe, hasa pale mnapoongea vizuri kimapatano, halafu mwanaume unakuja kugeuka geuka.
Ukizingatia mbowe ana access ya kuomba kumuona rais wakajadili jambo fulani lenye pengine utata,lakini badala yake mtu anakuwa payu payu payu.
Swali ni jepesi tu" nani anateka na kuua watu"Anajiendekeza tu haya yote kayataka yeye
Hahaha.....mitano tenaMama amekuja kuliponya taifa, mama yupo 4R na zinaworkout kibabe sana, mama anatosha kutuvusha.
Dunia ina unafiki mwingi nduguKama kusaini hati ya watu kunyongwa waliotiwa hatiani kwa makosa ya kuua ni ngumu, unawezaje kuruhsu magenge ya kihuni kuteka na kuua watu wasiokuwa na hatia halafu ukabaki vile vile??? hivi sifa kuwa usalama wa taifa lazima uwe mkatili??
Vyama vya siasa na wanaharakati wote..shirikianeni kuandaa documentary ya watu kutekwa na kuuawa na dola, ushahidi upo dhahiri kabisa, halafu ipelekwe ICJ huko hakuna kinga kwa mtu yeyote..! msipoteze muda na maandamano..ya nini?
Ile ilikuwa Lindi jimboni kwa Kiswaswadu.Huko Songea si ndio kule kulifuka moshi ambao mpaka leo haujulikani ulitoka wapi na chanzo chake ninini!?
Unafiki upi...?Dunia ina unafiki mwingi ndugu