Mikiki ya kisiasa imeathiri sana mood ya Rais Samia, hayo yameonekana jana huko Songea

Huko Songea si ndio kule kulifuka moshi ambao mpaka leo haujulikani ulitoka wapi na chanzo chake ninini!?
Mtazamo wangu wa hiki Kinachoendelea naona kinaratibiwa na CCM wenyewe na wamefanikiwa sana kumchonganisha na wananchi. Kama Rais angepata uweredi kidogo wa kuwasikiliza Wapinzani tangu awali nakuhakikishia angependwa kuliko mtangulizi wake. Hajui ndani ya chama chake wanamtengenezea zengwe achukiwe. Kumbuka yeye ni mtu toka visiwani na hii Tanganyika ni dude kubwa mno. 1. Angepaswa alete katiba mpya haraka sana 2. COVID-19🦠😷angewatoa Bungeni 3. Angefanikisha utawala wa sheria . Hapa asingekuwa na wa kumpinga
 
Kwani wewe mtoto wako mtukutu, akikosa maadili , mara kaiba kuku wa mtu, mara mlevi, mara kamtia binti wa shule mimba, furaha unaitoa wapi!
Sio tu hivyo,kama mzazi anashauriwa vibaya na akatoa maamuzi ya kushangaza hawezi kua na amani
 
 
Bado atapata stress sana asipobadilisha jeshi la polisi.
 

Yaani akitoka huko, kama hatasafiri nje ya nchi au kwenda Kizimkazi au kwa Wajomba wake Uarabuni kupata mapumziko ya kiakili basi nitamsifu Daktari wake kwa kazi nzuri.
 
Damu za watu zinazomwagwa ni nzito. Kifo cha kuawa na kutupwa maporini huko sio kifu tu hivi kama raisi alivyosema mbele za uma
 
Yeye ndio ameagiza wapinzani watekwe na kuuwawa, sasa anajua bado ana wajibu wa kuwakilisha ripoti ya mauaji hayo.
 
Bora hata wewe bado una guts za kumsikiliza huyu Mama.
Mie nime acha kama ilivyo kuwa kwa Magufuli.
Yaani hata jina lake sipendi litajwe mahali nipo.
Amekuwa Rais wa kupokea taarifa za uongo toka kwa wasaidizi wake, na hazifanyii kazi ana zipeleka kwa waajiri wake kama alivyo andikiwa. Mbaya sana..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…