SSEKK The Literally
JF-Expert Member
- Sep 5, 2023
- 1,134
- 1,905
Kilimanjaro enyewe wanalia shida nkafanye nao kazi tena budder hizi story kwa mtu ambae hajawah kanyaga anga hzo ndio atadanganyka.Kama unataka hela fanya kazi na watu wa Dar es salaam , au mikoa ya kaskazin hasa Kilimanjaro na Arusha hawa watu hawana bambamba, wamenyooka Sana , mikoa mingine wanaunga unga sana
Nyie nao punguzeni ushamba hyo Dar ina nn cha ziada sasaAnatudhalilisha kutulinganisha na mikoa
Hv huko KandaYaNyonyo huwa nyie mnafanywa nn jmn 😁 mbona mm ndio huko ndio shega sasa, dream yangu nkaish Mwanza na I'm huko ndio yatakuwa makazi sio hii DodomaNafkiri bado haujajua matukio ya Kanda ya Ziwa....Sumbawanga ni jina ...
Ila kuna maeneo ni watabe...
We umedata kweli.Wewe bado hujakaa Arusha wewe. Yani Arusha hakuna maji? Chakula gharama? Yani ilitakiwa Arusha ndio iwe ya kwanza. Dar inaongoza kwa wingi wa watu na mzunguko wa pesa basi. Vingine vyote ni kizungumkuti. Maji shida, usafiri tabu, joto kama tanuru, we mzima kweli kichwani?
Mara sijaiorodhesha kwasababu sijawahi fika kabisa.....ila hata data zake hadhiridhishi japo ndipo kwa wakwe.Halafu mleta mada unaweka dodoma unasahau morogoro na mara kweli?
Wewe utakuwa ni mtu wa Dar tu😁 lin KandaYaZiwa ama Kaskazin walikuambia wanaichukia Zenji!?Mkuu, Wengi wenye chuki na Zanzibar ni wanaotoka Kaskazini na kanda ya ziwa. Hata hapa DSM wanajifanya kuvimba
Wewe tembelea Simiyu,Shinynga interior na Geita.Hv huko KandaYaNyonyo huwa nyie mnafanywa nn jmn 😁 mbona mm ndio huko ndio shega sasa, dream yangu nkaish Mwanza na I'm huko ndio yatakuwa makazi sio hii Dodoma
Mbande ipi unayosemea wewe maji shida!?We umefika ukonga na chanika? Mbande? Tandale. We mimi ninaishi dar. Yani kama sio shughuli, nikipata mzigo wa maana, naenda kuishi Arusha, wala sio kipengele. Maji ni shida hatari.
Ajabu yeye mwenyew hayupo huko Kaskazin na hafanyi kazi na hao watu wa huko 😁 anachofanya hapa ni kujifariji tuWewe mpaka leo unaamini watu wa Kaskazini tu ndo wanafanya biashara? Endelea kuwa na akili hizo za miaka ya 90 huko!
Yaani maeneo kama Mwanza,Kahama,Mbeya Iringa,Morogoro kwako hawajui biashara?
Hii ni kero lakini haizidi kero ya mvuaShida pekee ya Dar ni hali ya hewa yake kuwa joto kali.
Acha uongo. Kote nimeishi eti kigamboni maji bwerere. Tuangalie na quality ya foods. Dar ni malaplap ma matakataka mnakula. Nyama za hovyo, makuku ya hovyo yani in short quality ni zero. Viazi ya hovyo, anything you name. Poor quality of life ipo Dar. Ndio maana wageni wengi wanaishia kuweka makazi Arusha na sio Dar for your info.We umedata kweli.
Arusha nimefika moshono vyakula bei we jamaa.
Dar es salaam unaweza ishi kwa 5k Arusha ili ule ushibe ni zaidi ya 10k.
Umewahi ishi Kigamboni!?
Maji bwerere kila kitu bei rahisi.
Umewahi fika Manzese?
Hadi nazi ya 300 unapimiwa.
Unafananishaje kwa maisha Dar na Arusha!?
Embu kuwa serious Arusha MAISHA BEI GHALI SAAANAAA.
Kote huko hakuna la maana. Dar ni Upanga, mikocheni, msasani , o bay , na mbezi. Kwingine ni jehanam na nusuMbande ipi unayosemea wewe maji shida!?
Chanika ipi unayosemea wewe hali ngumu?
Maana Zingiziwa hadi vyakula bei rahisi,usisahau Mbande kuna soko kubwa watu hununua vitu hadi wanaotoka Mbagala rangi 3.
Kaishi Temeke Mtongani,Tandika,Manzese,Kigamboni,Azizi Ally,Sinza,Kongowe,Mbagala yote,Buza,Mwanagati kesha urudi hapa.
We hukuishi Dar umepita Dar.Acha uongo. Kote nimeishi eti kigamboni maji bwerere. Tuangalie na quality ya foods. Dar ni malaplap ma matakataka mnakula. Nyama za hovyo, makuku ya hovyo yani in short quality ni zero. Viazi ya hovyo, anything you name. Poor quality of life ipo Dar. Ndio maana wageni wengi wanaishia kuweka makazi Arusha na sio Dar for your info.
Kipindi ikifika ukakaa mikoa kama 10,utakuja kusema Mbeya afadhali....Mbeya upatikanaji wa maji ni changamoto kubwa, miuondombinu mibovu, hali za nyumba ni duni, kipindi cha kiangazi vumbi huwa ni kubwa sana. Kwa ufupi Mbeya ni Mkoa mbaya sana kuishi.
Hukukaa Dar mzee umepita wewe.Kote huko hakuna la maana. Dar ni Upanga, mikocheni, msasani , o bay , na mbezi. Kwingine ni jehanam na nusu
Oh to me Mwanza is the best city in Tanzania, no matter what slums ziko in every city hapa Tz, na tuwe wakweli tu Mwanza hata kwa muonekano tu ni pazuri kichiz...Tatizo la Mwanza ni slums na hela hakuna