Mikoa ambayo dini zimeharibu zaidi akili za watu

Angalia na hili siyo mambo bayana?

Katika Qur’an Surah Al-Ghaashiyah 88: 17 Allah anasema:
"Je! Hawatazami ngamia jinsi alivyoumbwa?"

hiyo ni technology ya zamani je Mungu kwa sasa unafikiri atakuwa na technology ipi
 
Dini za jadi zina ushetani mwingi, tena kuna maagano ya kutisha vizazi na vizazi afadhali dini za kigeni hazina maagano ya kutisha, unaamini ukiona vema na ukiona si vema unaacha. Ila ni kweli kuna mikoa imeharibiwa akili na dini mpaka watu wengine wamekuwa ni katili kwa kutetea dini, wako tayari kuua na kujitoa muhanga ili tu waende akhera
 
Ukristu unajikita katika matendo mema sio tu kuwa na imani. Hawa wapuuzi wa kilokole walojikita kwenye miujiza ni sawa na washirikina hawafai kujiita wakristu.
Mbona unawaita washirikina kwani miujiza imesitishwa lini kwenye Ukristo
 
Nani kakakwambia ukijihusisha sana na dini lazima uwe duni kimaendeleo au kiuchumi ?

Kinachozungumzwa hapo ni dini kuwafanya watu wawe kama mazombie au machizi.
Aisee maybe you dont know dhat, moja ya effect kubwa ya dini huwa inafanya jamii husika IQ zao kuwa chini, kuokuweza kufikiria mbali.
Huwez kupata maendeleo bila kuwa na wananchi wanaofahamu umuhimu wa kuwa nayo

Mikoa iko affected with this ni pwani, at one time nimepita mtwara kupanda juu ambaa na hiyo coast ya tz, the more watu wanashika dini the more thinking capacity na maendeleo yanakuwa duni

Sisem mikoa yote ya pwani, ila mostly hii kitu ipo kwa mikoa hiyo

Substitute ya masikin anapokosa kushika kitu, anashika dini
 
Angalia na hili siyo mambo bayana?

Katika Qur’an Surah Al-Ghaashiyah 88: 17 Allah anasema:
"Je! Hawatazami ngamia jinsi alivyoumbwa?"

hiyo ni technology ya zamani je Mungu kwa sasa unafikiri atakuwa na technology ipi
Hueleweki. Andika vizuri kama mtu mwenye utimamu.
 
Kuna mikoa kama Ruvuma, Iringa na Njombe Ukatoliki umewapacify kabisa. Hilo nalo ni tatizo.
 
Huu ndio ukweli mchungu. Mimi kwenye familia yangu nusu ni walokole, nusu RC. Sisi RC tukiandaa kitu chochote iwe ni sherehe, kikao nk wale walokole wanasusia wanadai hawawezi kuja maana kuna pombe, tukichinja hata mbuzi hawali. Matokeo yake kama familia hatuwezi kukaa tukapanga jambo lolote la pamoja.

Na hii inapanda mpaka level ya taifa. Leo hii mfano rais akiwa mkristo, chochote watakachokosoa waislamu inaonekana wanaongea kwasababu rais ni mkristo. Akiwa muislamu hivyohivyo.

Hizi dini zingefutwa tu.
 
Hii ni mikoa sita ambayo watu wake wengi zaidi wamelewa ulevi wa dini hadi kufikia kiwango cha kuwa kama watu wenye matatizo ya akili/waliochanganyikiwa.
1. Dar es Salaam
2. Mbeya
3. Arusha
4. Kilimanjaro
5. Mikoa yote Zanzibar
6. Pwani
Dsm, Arusha na Kilimanjaro umezionea. Nafasi zao zichukuliwe Mikoa iliyoathirika pakubwa na dini kama Mkoa wa Tanga, Lindi na Mtwara.
Hiyo mikoa wapo radhi kupanda gari inayosafirisha mirungi na bangi lakini sio kusikia hiyo gari imebeba kitimoto.
Kuna kampuni moja ya magari yaendayo kusini ilipewa kashfa kuwa inasafirisha hiyo mboga, huwezi amini ile kampuni iliathirika pakubwa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…