round kick
JF-Expert Member
- Feb 3, 2025
- 933
- 3,051
- Thread starter
-
- #61
Huku sio Kenya kusema kwamba kila mkoa unaweza kujikusanyia kodi zake na kuamua miradi, Hii ni TZ, Kodi zote zinawekwa sehemu moja zinaamuliwa zitumike wapi haijalishi mkoa unachangia kiasi gani.Mkoa umelala kwasababu sisi wenyewe hatujitambui.
Mara hakuna nini?
Kuna migodi inachangia MADUHULI (CSR) halmashauri.
Michango ya hiari.
Kujenga zahanati na vituo vya afya mnashindwaje?
Ziwa
Bwawa
Ardhi kubwa ya kifugaji
Ardhi yenye rutuba ya kulima.
Tunaweza nini,?
Juzi hapa kafa Jamaa wa Mara ana watoto karibu 20 hata pa kukaa hana, kwasababu ana nyumba Masaki
Chuo nimepita huko juzi, nadhani kabla mwaka huu haujaisha kitakuwa tayari, maana wako kwenye finishing na pavements.
View: https://www.instagram.com/reel/DHxtc9HynCn/?igsh=a3BvcmpubmwwcjJl
Chuo cha Saut ni cha kanisa / PrivateGeita mtu Letee Chuo tumechoka kuvizia Mabinti wa Saut
Yeah mkuu Yan, wakituletea vyuo huku itapunguza Ata idadi ya mimba kwa mabinti maana watajikeep busy na masomoChuo cha Saut ni cha kanisa / Private
Geita mna haki pia ya kujengewa chuo cha serikali kwasabau mkoa wa Geita nao huchangia kodi
Hivi pale jimboni songea si kuna tawi la Saut au ni nini kile!MUHIMU: Ni Kwa level ya vyuo vinavyotoa degree, Open University kipo kila mkoa na wanatoa degree lakini ni maalum zaidi kwajili ya waajiriwa, hawaingii madarasani wanajisomea kivyao, huwa wanaenda kufanya mitihani tu.
Kuna mikoa ni kama imesahaulika kabisa kwenye miradi ya kielimu, Mikoa mipya tunaweza kuelewa lakini kuna mikoa kongwe mpaka leo haina vyuo, NI AIBU !!!
Mikoa hii haina vyuo ila vinajengwa
- MARA (Kuna chuo kilianzishwa 2010 kumuenzi Nyerere kijijini Butiama lakini hadi leo hakijakamilika)
- RUVUMA
- PWANI (Kuna shule ya uongozi wa siasa, kile sio chuo )
- MANYARA (Kuna IAA lakini hawajafika level za kutoa degree)
- SONGWE
mikoa hii mnaweza kudhani hakuna vyuo ngazi ya degree ila vipo
- KAGERA - Kuna tawi la UDSM linajengwa
- LINDI - Matawi mawili ya UDSM yanajengwa
- NJOMBE - Kuna Tawi la UDOM linajengwa
USHAURI:
- KATAVI - Kuna tawi la SUA
- RUKWA - Kuna tawi la MUST
- KIGOMA - Kuna tawi la TIA
- SINGIDA - Kuna tawi la TIA
- SIMIYU - Kuna tawi la IFM
Ni aibu makao makuu ya baadhi ya mikoa kukosa hata chuo kimoja, hali inayowalazimu watu kusafiri kwenda mikoa mingine kutafuta elimu ya juu. Vyuo vilivyopo vinapaswa kuondoa hali hii kwa kufungua matawi kwenye mikoa isiyo na vyuo. Mfano TIA wameonesha mfano mzuri kwa kufungua matawi mikoa ambayo haikuwahi kuwa na vyuo, ni zamu ya vyuo vingine sasa. Inapendekezwa kuona matawi kama DIT Manyara, Mzumbe Mara, UDOM Geita, IFM Songwe, na UDSM Pwani. Serikali isimamishe kwanza mipango ya kujenga vyuo mikoa ambayo tayari imejitosheleza, waweke kipaumbele mikoa isiyo na vyuo ama kuna vyuo vichache, Lengo ni kujaribu kupata usawa kielimu kitaifa.
Kujaza vyuo baadhi ya mikoa inaweza pia kuwa ni mbegu ya kustawisha ukabila na ukanda, vyuo vinatoa output ya wahitimu wenye sifa za kuajiriwa kwenye system, balance isipokuwepo kunakuwa na hatari ya kuruhusu makundi flani yajae kwa kiasi kikubwa kwenye system.
Faida ni nyingi sanaYeah mkuu Yan, wakituletea vyuo huku itapunguza Ata idadi ya mimba kwa mabinti maana watajikeep busy na masomo
Najua kuhusu hilo.Huku sio Kenya kusema kwamba kila mkoa unaweza kujikusanyia kodi zake na kuamua miradi, Hii ni TZ, Kodi zote zinawekwa sehemu moja zinaamuliwa zitumike wapi haijalishi mkoa unachangia kiasi gani.
Hujaona video hapo.Vyuo vya serikali vinajengwa na kodi, Kila mkoa unaochangia kodi una haki ya kupata vyuo, Elimu ni huduma muhimu sana ya kijamii, mkoa mzima kukosa hata chuo kimoja ni kukosa huduma critical,
Hicho chuo kila mwaka ni stori hizo hizo za "Mwakani kinaweza kuanza" tangu 2010
Huwezi kujenga kiwanda cha kuchambua pamba mahali ambapo hawalimi pambaMUHIMU: Ni Kwa level ya vyuo vinavyotoa degree, Open University kipo kila mkoa na wanatoa degree lakini ni maalum zaidi kwajili ya waajiriwa, hawaingii madarasani wanajisomea kivyao, huwa wanaenda kufanya mitihani tu.
Kuna mikoa ni kama imesahaulika kabisa kwenye miradi ya kielimu, Mikoa mipya tunaweza kuelewa lakini kuna mikoa kongwe mpaka leo haina vyuo, NI AIBU !!!
Mikoa hii haina vyuo ila vinajengwa
- MARA (Kuna chuo kilianzishwa 2010 kumuenzi Nyerere kijijini Butiama lakini hadi leo hakijakamilika)
- RUVUMA
- PWANI (Kuna shule ya uongozi wa siasa, kile sio chuo )
- MANYARA (Kuna IAA lakini hawajafika level za kutoa degree)
- SONGWE
mikoa hii mnaweza kudhani hakuna vyuo ngazi ya degree ila vipo
- KAGERA - Kuna tawi la UDSM linajengwa
- LINDI - Matawi mawili ya UDSM yanajengwa
- NJOMBE - Kuna Tawi la UDOM linajengwa
USHAURI:
- KATAVI - Kuna tawi la SUA
- RUKWA - Kuna tawi la MUST
- KIGOMA - Kuna tawi la TIA
- SINGIDA - Kuna tawi la TIA
- SIMIYU - Kuna tawi la IFM
Ni aibu makao makuu ya baadhi ya mikoa kukosa hata chuo kimoja, hali inayowalazimu watu kusafiri kwenda mikoa mingine kutafuta elimu ya juu. Vyuo vilivyopo vinapaswa kuondoa hali hii kwa kufungua matawi kwenye mikoa isiyo na vyuo. Mfano TIA wameonesha mfano mzuri kwa kufungua matawi mikoa ambayo haikuwahi kuwa na vyuo, ni zamu ya vyuo vingine sasa. Inapendekezwa kuona matawi kama DIT Manyara, Mzumbe Mara, UDOM Geita, IFM Songwe, na UDSM Pwani. Serikali isimamishe kwanza mipango ya kujenga vyuo mikoa ambayo tayari imejitosheleza, waweke kipaumbele mikoa isiyo na vyuo ama kuna vyuo vichache, Lengo ni kujaribu kupata usawa kielimu kitaifa.
Kujaza vyuo baadhi ya mikoa inaweza pia kuwa ni mbegu ya kustawisha ukabila na ukanda, vyuo vinatoa output ya wahitimu wenye sifa za kuajiriwa kwenye system, balance isipokuwepo kunakuwa na hatari ya kuruhusu makundi flani yajae kwa kiasi kikubwa kwenye system.
Sijui kama kipo ila hivyo ni vyuo vya makanisa ama watu binafsiHivi pale jimboni songea si kuna tawi la Saut au ni nini kile!
TIA branch na sasa kinajengwa Muhas branchIvi kigoma Kuna chuo gan??
Chuo kwa ngazi gani ? Na ni lazima kiwe chuo au hata Taasisi ya kielimu?Sijui kama kipo ila hivyo ni vyuo vya makanisa ama watu binafsi
Kila mkoa inabidi uwe na chuo cha serikali kwasababu ni huduma muhimu ya kijamii, na kila mkoa unachangia kodi zinazoenda kujenga vyuo mikoa mingine, so wana haki ya kupata huduma hii muhimu.
Pwani hakuna tawi lolote la Saut lakini hata hivyo hicho chuo cha Saut sio cha kodi zetu, ni cha kanisa / private.Pwani Kuna tawi la SAUT. Pili naona andiko lako lilihusu Vyuo Vikuu lakini humo ndani umetaja Taasisi za Elimu ambazo sio Vyuo Vikuu kama TIA, IFM na IAA.
Tunazungumzia elimu sio pamba wala karangaHuwezi kujenga kiwanda cha kuchambua pamba mahali ambapo hawalimi pamba
Nimeweka PDF ya vyuo vyote vinavyodahili degree, ipitie, sijaona chuo cha degree RuvumaChuo kwa ngazi gani ? Na ni lazima kiwe chuo au hata Taasisi ya kielimu?
Mambo ya serikali sio budget tu, kuna mambo mengi sana, bila usimamizi sahihi miradi huchukua muda mrefu ama inatelekezwa kabisa.Najua kuhusu hilo.
ila kuna miradi midogo inayotokana na makusanyo ya Halmashauri pamoja na maduhuri kutoka kwenye migodi iliyopo kwenye halmashauri husika.
Miradi mikubwa kama barabara kubwa, vyuo, miradi ya maji, umeme tuachie Serikali kuu.
Hivi kweli vimiradi kama zahanati, shule za msingi sekondari, barabara za mitaa zinategemea makusanyo ya TRA???
Kwamza ili ionekane watu wanataka mradi inatakiwa nguvu kazi iwepo.
Wananchi wakijichanga wakaanzisha Boma, serikali inaliweka kwenye budget na mambo yanaenda.
Hujaona video hapo.
Mambo ya serikali huwa ni budget, suala la kuchelewa lipo tu. Jambo la msingi kwasasa chuo kimeshajengwa.
Sasa unasema hakuna wakati kipo!! Ebooh !Pwani hakuna tawi la Saut lakini hata hivyo, hicho sio chuo cha serikali, ni cha kanisa ama watu binafsi.
Kila mkoa inabidi uwe na chuo cha serikali kinachojengwa na kodi, kama mkoa unachangia kodi zinazoenda kujenga vyuo mikoa mingine, nao una haki ya kujengewa vyuo maana ni huduma hii muhimu.
Sijasema kuhusu Ruvuma, hoja yangu ni kuwa wewe unasema kila mkoa uwe na chuo cha Serikali. Sasa kwa ngazi ipi ? Na lazima kiwe chuo au hata Taasisi ya kielimu?Nimeweka PDF ya vyuo vyote vinavyodahili degree, ipitie, sijaona chuo cha degree Ruvuma
Naomba tusibishane sanaSasa unasema hakuna wakati kipo!! Ebooh !
Pili chuo kwa ngazi ipi alafu kwenye list yako vingine sio Vyuo Vikuu inabidi uwe specific.