Kuna Halmashauri za vijiji.Mambo ya serikali sio budget tu, kuna mambo mengi sana, bila usimamizi sahihi miradi huchukua muda mrefu ama inatelekezwa kabisa.
Suala la kuendana mimi siyo Engineer. Sitaki kukadiria mahesabu.Mwaka 2023 serikali ilitoa pesa nyingine za ujenzi bilioni 102 lakini hadi sasa ujenzi wa hicho chuo unaendana na mzigo uliowekwa ?
Serikali yatenga Sh102.3 bilioni ujenzi chuo cha Mwalimu Julius Nyerere Butiama
Serikali imetoa zaidi ya Sh102.3 bilioni kwa ajili ya ujenzi wa Chuo Kikuu cha Mwalimu Julius Nyerere cha Kilimo na Teknolojia (MJNUAT) kampasi kuu ya Butiama ujenzi ambao unatarajiwa kuanza...www.mwananchi.co.tz
Shida kama hujui uulize, utaaibika.Naomba tusibishane sana
Ingia hio orodha ya vyuo niliyoweka
Ni ngazi ya degree
Hakuna chuo chochote
Faida ni nyingi sana kuwa na vyuo mikoaniHivi chuo kina leta maendeleo gani? Mm nadhani kila mkoa una potentials zake.
Chuo cha diploma hichoShida kama hujui uulize, utaaibika.
Katafute Marian university college
Sasa hueleweki mwanzoni ulizungumzia Vyuo Vikuu, lakini kwenye malezo yako ukachanganya na Taasisi za kielimu ambazo sio Vyuo Vikuu.Faida ni nyingi sana kuwa na vyuo mikoani
- Gharama za kusoma vyuo zinaweza kupunguzwa, wanafunzi wanaweza kula au / na kuishi nyumbani kwao
- Chuo ni huduma muhimu ya kijamii, Kila mkoa unaochangia kodi una haki ya kupata huduma hii.
- Elimu ya form 6 sikuhizi inazidi kuchuja, watu wengi wanaenda vyuoni kwasababu kuna faida nyingi kwenye soko la ajira kuzidi form 6.
- wale form 4 wanaokosa alama za kwenda form 5 wanapata mbadala wa kujiendeleza kielimu, vijana hawa wengi wa mikoa isio na vyuo ndoto za elimu zinazima, hata wazazi hawana mwamko.
- Makundi maalum na watu wasiojiweza inakuwa rahisi kupata elimu kwa usimamizi wa karibu na mazingira waliyozoea.
- Vyuo vinaleta fursa kwa vijana kupata ajira, ni kweli ajira ni chache lakini zipo na inabidi zijazwe mfano wanasheria, walimu, wahandisi, HR, n.k.
- Vyuo vinaleta fursa mfano kujenga vyumba vya kupanga, migahawa, mitumba, mabanda ya mpira, n.k.
- serikali husukumwa kuboresha barabara, umeme, maji, na huduma za afya karibu na vyuo.
Mtu akiwa na degree haijalishi kahitimu taasisi au chuo kikuuSasa hueleweki mwanzoni ulizungumzia Vyuo Vikuu, lakini kwenye malezo yako ukachanganya na Taasisi za kielimu ambazo sio Vyuo Vikuu.
Na ukaonesha mikoa ambayo haina Vyuo ngazi ya degree, ila sasa unaonesha umuhimu wa chuo kila mkoa kwa wanafunzi walio maliza kidato cha nne? Basi kama hivyo hakuna Mkoa ambao unakosa chuo.
Kumbe kipo, Ni jambo zuri sana, asante kwa taarifa.
Vyote ulivyotaja hakuna kinachotoa degree hata kimoja, ni vyuo vya diploma na ufundi.Ruvuma kuna.
Peramiho college of health and allied science
Songea College of health and allied science
Top One inn VTC.
Kuna kile kipo karibu na St camilius, pale jimboni.
Navifahamu hivyo hapo.
Ni kweli Ruvuma, hakuna chuo kinachotoa Degree, ni certificate na Diploma tyuuhNimeweka PDF ya vyuo vyote vinavyodahili degree, ipitie, sijaona chuo cha degree Ruvuma
Songea college ni cha serikali, ila wanatoa Certificate na Diploma tyuuh bas.Vyote ulivyotaja hakuna kinachotoa degree hata kimoja, ni vyuo vya diploma na ufundi.
pia ni vya watu binafsi havijajengwa kwa kodi tunazolipa wananchi au mikopo itayolipwa kupitia kodi za wananchi,
Basi rekebisha jina la uzi wako iendane na hoja yako ya sasa. Ukisema chuo hata madrasa wanaita chuoMtu akiwa na degree haijalishi kahitimu taasisi au chuo kikuu
Mfano kwenya ajira inayohitaji mhandisi haijalishi mhitimu kasomea taasisi kama DIT au chuo kikuu kama MUST, wote wanazo sifa. ndio maana tumezoea kuviita vyote ni vyuo sababu wahitimu wanafanana kwenye sifa.
Mwanafunzi anaeingia diploma kutoka form 4 inabidi aweze kusoma mpaka degree mkoa wake bila kutoka nje ya mkoa wake, sio unasomea diploma mkoa flani halafu degree huwezi kuendelea mpaka utoke.
Ndio hivyo, Mkoa wa Ruvuma una utajiri mkubwa sana wa makaa ya mawe yanayochangia kodi nyingi, Ingependeza pale Songea mjini wafanye utaratibu wajenge hata chuo kimoja level ya kitaifa kama kama DIT, UDsm, Mzumbe, TIA, Muhimbili, n.k.Ni kweli Ruvuma, hakuna chuo kinachotoa Degree, ni certificate na Diploma tyuuh
Wewe ni kilaza unabisha tu hujui kitu, kipo ila bado ruhusa tu huko juuKumbe kipo,
Ni jambo zuri lakini ingependeza zaidi kuwe na chuo cha ziada kilichojengwa kwa kodi zinazokusanywa au mikopo ya nje inayolipwa na wananchi kupitia kodi
Nasikia wanataka kujenga chuo kikuu, pale shule ya Tanga, wacha tusubiri tuone.Ndio hivyo, Mkoa wa Ruvuma una utajiri mkubwa sana wa makaa ya mawe yanayochangia kodi nyingi, Ingependeza pale Songea mjini wafanye utaratibu wajenge hata chuo kimoja chenye jina kubwa kitaifa.
Alafu ukijenga chuo ndio nini sasa, wakati hao waliomaliza kwenye Vyuo vilivyopo ni vilaza kama wewe.Ndio hivyo, Mkoa wa Ruvuma una utajiri mkubwa sana wa makaa ya mawe yanayochangia kodi nyingi, Ingependeza pale Songea mjini wafanye utaratibu wajenge hata chuo kimoja chenye jina kubwa kitaifa.
Hilo neno "Wanataka" litoe kabisa akilini, Siasa za hapa nchini ni mpaka uone Pesa zimetolewa, Ujenzi umeanza na kuna usimamizi makini.Nasikia wanataka kujenga chuo kikuu, pale shule ya Tanga, wacha tusubiri tuone.
Kitachohusu mambo ya uhandisi, sijui km isije kua tawi la MUST.
Bas sawaHilo neno "Wanataka" litoe kabisa akilini, Siasa za hapa nchini ni mpaka uone Pesa zimetolewa, Ujenzi umeanza na kuna usimamizi makini.
chuo gani cha serikali kipo Pwani kinatoa Degree ?Wewe ni kilaza unabisha tu hujui kitu, kipo ila bado ruhusa tu huko juu