Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
- Thread starter
- #81
Hamna namna MkuuWatu wana calculate win, win situation zao mapema. Hatari sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamna namna MkuuWatu wana calculate win, win situation zao mapema. Hatari sana.
Kaka, utaambiwa Biashara inayumba, kwakua hamna maandishi itakua imeisha hiyo!!!Wataingia mkataba wa maandishi? Maana huyo dem anaweza kubadilika na hiyo pesa ni ndefu
Hamna msukuma mwenye kibamia ila inatokeaga tu sometimesHamna ushamba kabisa,tatizo ni uwe msukuma afu kibamia 😳 itakuwa ajabu sana aisee
Nimesema mwanzo, Mimi Sina habari za kukufukuzia wiki, mwezi ,miezi, Sinaga... Na Kwa kadiri siku zinaenda huenda nitakua nikishaongea Mara Moja, hueleweki naacha ujitafakari mwenyewe.Huyo anakukimbiza kwa kizinga
Mbinu nzuri sana ya kumkimbiza mwanaume anayekusumbua na wewe uko na mtu wako na hutaki other affairs ni kumpiga kizinga cha ukweli, mwingine ataishia kukublock tu na simu hapokei.
Million tatu kwa uchumi wa Samia lazima ufungue uzi aisee
Nimewaibia mbinu kutoka kwenye kikao chetu
Hao si feminists bali rejectsNawasubiri feminists akina Rebecca, Heaven Saint, Ladyrain n.k. kuja kuupiga mwingi kwenye huu uzi [emoji1732][emoji144]
AiseeeYaan umeombwa ka milioni 3 umekimbilia kuja kutangaza huku JF kweli ushamba ni mzigo ila umaskini ni gunia la misumari ya moto!
Achana naeNimesema mwanzo, Mimi Sina habari za kukufukuzia wiki, mwezi ,miezi, Sinaga... Na Kwa kadiri siku zinaenda huenda nitakua nikishaongea Mara Moja, hueleweki naacha ujitafakari mwenyewe.
( Kama umesoma na kuelewa Uzi wote ).. niyeye aliyenitafuta baada ya ukimya wake wa muda mrefu .
Hata hivo Nikitaka nimtie Leo namtia , in facts yeye sio wakwanza au wa mwisho kua na Mwanaume na Bado akalika... Haya mambo ni maelewano tu.
Na ndio Sababu hata yeye nilipomwambia Leo tuonane. Lodge, kakubaki na ananisihii sana, "Ukishachukua chumba niambie ".
ukweli ni kwamba, huyu anahisi Mimi mjinga.
Hapa umenielewa vizuri. Unajua wee waweza kua na Mpenzi wangu, Kuna wakati umeyumba kiuchumi Sasa ikiwa unamtaka Msaada was Mkopo ..anakupa ..ikiwa unamtaka Msaada usokua marejesho yaan Bure m..ni yeye wakuamua.Achana nae
Wala usiende hata huko Lodge
Mtu wa aina huyo kwa mtazamo wangu hakufai, muuzaji tu kama wauzaji wengine.
Kama mkristo nenda kanisani kasali then nakaa na familia yako.
[emoji23][emoji23][emoji23]pole aisehHuyu Bidada niliwah fika Ofisi kwake nilikua nahitaji huduma Fulani ivi.
Nilivutiwa naye yaan ni ile Tamaa tu kuona ni jeupe jeupe Nene limejaa mahips matako n.k.
Alinipea namba ila kwenye kumuomba Mzigo akawa mgumu, alafu madharau mengi sana Sijui na kunichukulia poaaa
Unajua Binafsi huwa sitaki kua kama nanunua, Huwa napenda nimjali mwanamke Kwa Msukumo wa Moyo wangu sio sababu ana K !! Ndio kama K si zipo nyingi yanini Sasa habari za 'fanya hivi fanya vile, aaa bwanaa wewe wengine kamba zetu zinatukutanisha na PISI/VISU mamia Kwa mamia na Kila siku !.
Tuyaache hayo, Siku Kadhaa mbele ndo akapata kunijua Jua hivi naona Sasa akahisi kumuhitaji ndio sehem ya yeye kunipiga......Basi Jana mida ya saa 10 Huyu Bidada Jana anarudia kosa lilelile, " et Nimkopeshe Milioni 3 za kitanzania jamani, kwamba nikishampa ndio naye anipe mbunye yake " hiiiiiiiiiiiiii Nkoiiii !!!
View attachment 2316571
Wee yaan 3M kisa K , sibora mtu anaingia Kwa makubaliano mengine ? Hahaha
Yaan 3M kisa K ?? K ?? Uwiii Mimi sio Bachela nahata kama ningekua Bachela, Mimi sijafikia hatua ya kutoa Pesa Et ndio nipewe K .
Haaaaa Bora kama angekua anauza, ningeenda Moja Kwa Moja kwenye 'Bei', ila Mimi mwenyewe nikutongoze, maana yake nimeamua Kwa Dhamira yangu, wee badala ya kuacha Nikupe Mimi Hela, anataka kulazimisha nitoe Hela kisa mbunye ??.
View attachment 2316568
Alafu nyie Wanawake sikilizeni na heshimuni sana watu , acheni dharau na mbwembwe , Sio mpaka uone mtu ana ndinga ndo uheshimu .yaan Kwa akili ya chekechekea tu Hivi mtu kama Mimi kama siendeshi Gari, Huoni ni maamuzi yangu tu kwamba Pesa yangu Kuna Mahali nimeielekeza ??!!. Haya mambo ya kuheshim watu kisa mnaona wanavitu, matokeo yake "Mmelika Bure sababu jamaa mjini wanaadhima ndinga hawana Hela sana sana atakununulia Pombe na Kitimoto ;!!!!".
unakuta demu anakuchukulia poaaaa kisa unendesha Boxer , baadae akishakujua vizuri kwamba wewe nani, una nn, na nn ,ndo anaanza kukuzoea Kwa speed ya 6G .....
et unakuta Manzi una namba yake naye anayako, huenda unamsalimia lkn anauchuna au yeye tu Salam hamna, alafu Kesho na kesho kutwa anapigwa na kitu kizito kinachohitaji Pesa, hapo ndipo anakumbuka Kuna Boyaa anaitwa Carlos The Jackal hiiiiiiii Nkoiii wasukuma tumeongoza Nchi Kwa miaka 5 !!. Na Si tu KUONGOZA Bali tulitoa Uongozi ambao utaendelea kua Kumbukumbu Kwa vizazi na vizazi hapa Nchini kama uongozi Bora na wakuigwa !!.
Hata kule hukuniangushaMpwaa Kuna wakati akili inatulia
Wewe ni mpumbavu jaribu kuuficha mbele ya hadhiraYaan umeombwa ka milioni 3 umekimbilia kuja kutangaza huku JF kweli ushamba ni mzigo ila umaskini ni gunia la misumari ya moto!
Ukishampa baada ya mwezi anabadilika anakukwepa mzee baba huo ni mtego tu.Hujaelewa iyo million 3 kifurushi iko unlimited unamla mwaka mzima [emoji28][emoji28][emoji28]hujajiongeza kishkaji sema kuitoa kwa mkupuo parefu mwanangu toa ule mambo mwaka mzima .
Yes Wakati hata hao celebrities wanaoiwakilisha Tanzania Ukilala nao unalipa chini ya Laki 5,Malaya wa viwango kabisa wanalipwa Laki 1 au 2 kwa usiku kucha.Tajiri hapa Duniani usicheke Umasikini na Gereza .
Kama unaweza Toa Milioni 3 ndio upewe Mbususu, utakua TAHIRA ,ZOBA, DOMO ZEGE ,BOYAAA JINGA KABISA.
labda inawezekana aisee... hahahaha maana mi kweli bahili bahili bahili....utakuwa unamkono mfupi naantombe
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hujaelewa iyo million 3 kifurushi iko unlimited unamla mwaka mzima [emoji28][emoji28][emoji28]hujajiongeza kishkaji sema kuitoa kwa mkupuo parefu mwanangu toa ule mambo mwaka mzima .
Kwani kama humtaki mtu ni lazima umpige vizinga, just be straight, nina mtu wangu period.Huyo anakukimbiza kwa kizinga
Mbinu nzuri sana ya kumkimbiza mwanaume anayekusumbua na wewe uko na mtu wako na hutaki other affairs ni kumpiga kizinga cha ukweli, mwingine ataishia kukublock tu na simu hapokei.
Million tatu kwa uchumi wa Samia lazima ufungue uzi aisee
Nimewaibia mbinu kutoka kwenye kikao chetu