Umeonaee, halafu tulizichanga kwa hazira zile hela, wengine tuliowachangia wakaja kusaliti chama, Mungu atawaadhibuKweli haki ya mtu hucheleweshwa tu ila ipo siku hupatikana.
Hizi hela zilichangwa na wanachama na wananchi wapenda haki kwa hiyo kutoa ushauri siyo vibaya.Ya ngoswe
Zilichangwa na wanachama.mkuu ni pesa za mbowe au za chama cha CDM?
ww ndio mbowe? embu waacheni. pesa yao watakaopanga matumizi ni wao. sio nyieNi kiasi cha US$ 150,000 sawa na milioni 350.
- Zijenge ofisi makao makuu?
- Zisaidie kulipa faini na mawakili wa kesi zilizobaki?
- Zisaidie mchakato wa katiba mpya?
- Zinunue kiwanja cha ofisi makao makuu Dodoma au Dar es salaam.
- Zisaidie ujenzi wa ofisi za kanda?
- Zinunue vitendea kazi vya chama.
- Zigawanywe kwa viongozi waliohukumiwa.
Maoni yenu tafadhali.
Naunga mkono na miguu yote. Ubarikiwe mkuu.Ziingizwe kwente jambo lolote ilimradi hilo jambo lina tija na lina maslahi mapana ya chama
... kwanza zinarudishwa kwa nani? Sio kwa wahusika kwa maana Halima atarudishiwa; Bulaya atapewa zake; Mashinji naye vivyo hivyo ataingiziwa kwenye akaunti yake. Kama ndivyo, wazo lako litawezekana?Ni kiasi cha US$ 150,000 sawa na milioni 350.
- Zijenge ofisi makao makuu?
- Zisaidie kulipa faini na mawakili wa kesi zilizobaki?
- Zisaidie mchakato wa katiba mpya?
- Zinunue kiwanja cha ofisi makao makuu Dodoma au Dar es salaam.
- Zisaidie ujenzi wa ofisi za kanda?
- Zinunue vitendea kazi vya chama.
- Zigawanywe kwa viongozi waliohukumiwa.
Maoni yenu tafadhali.
Apewe mwenyekiti, kurudisha fedha alizokopesha chama.Ni kiasi cha US$ 150,000 sawa na milioni 350.
- Zijenge ofisi makao makuu?
- Zisaidie kulipa faini na mawakili wa kesi zilizobaki?
- Zisaidie mchakato wa katiba mpya?
- Zinunue kiwanja cha ofisi makao makuu Dodoma au Dar es salaam.
- Zisaidie ujenzi wa ofisi za kanda?
- Zinunue vitendea kazi vya chama.
- Zigawanywe kwa viongozi waliohukumiwa.
Maoni yenu tafadhali.
... Mkuu, zinarudishwa kwenye Chama au kwa wahusika akina Halima, Bulaya, na Mashinji waliolipa faini?Kamati kuu itaona lililojema na kupitshisha maamuzi ..βπ½βπ½βπ½βπ½βπ½βπ½βπ½βπ½