Milioni 350 za faini ya kina Mbowe zinazorudishwa na mahakama unashauri zifanye kazi gani?

Kwenye hiyo milioni 350 kina elfu hamsni yangu kwahiyo wajenge makao makuu ya chama.
 
Chukueni Hizo Mnunue Japo Kiwanja Heka 5 Mbezi Mjenge Jengo HATA ofisi Hamna Nyie
 
Zirudi chamani maana tulichanga sie wapenda haki ,KWA besa mdogo ya sh mia
 
Ziludi kwenye chama then, chama kitajua WAFANYE nini, yapo mengi ya chama yakufanya ,japo KWA Sasa na kuendelea Chadema ni chama tajiri ,mwafaaa ccm
 
Wasipoangalia wakifanya jambo lisilo na mantiki na la hovyo next time hatutachangia tena
 

Apewe Bashite na team yake
 
Huyu mama akilala huwa analala kwa aman kbsa hana hofu yoyote. Tofauti na mwandezake
 
Hizi million 350 hala hala zisije lete mpasuko ndani ya chama. Naomba PROPESA LIBUMBA afungwe kamba asijekimbilia chadema kwa muda.
 
Pesa za watu halafu wewe wazipangia matumizi...

Atakua anatafuta wazo bora alifikishe kwenye kamati, ila bado wajue wakiteleza tu kuzipangilia next time hatutachangia kitu chochote
 
Mwambieni Msigwa ile hela aliyolipiwa na Magufuli airudishe kwa wenyewe.
 
Zikirudi chamani ,

Mkumbuke tu kuwa Kuna jamaa huwa anasema anakidai chama na utaratibu ni kwamba Huwa lazima alipwe kwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…