Millard Ayo kapoteza maboya vijana wengi waliokuwa wanatamani kuwa kama yeye

kwahiyo unamaanisha jamaa wasio na time na mwanamke/wanawake wowote, washanogewa kulana? au ndo hawadindishi?
 
Kipato kizuri ni shilingi ngapi? Na mnajuaje kipato cha mtu
 
Walete uthibitisho wa hilo swala kwanza sio kumsema tu kila kukicha
 
Mna connection zao au proof za kutosha wakuu? Hivi watakuwa wanajisikiaje kama hizi mnazosema sio za kweli daah!!? Ni wanadamu wale aisee..
Achana na connection mkuu, mbona Hilo jambo la kawaida unafiki tu wa wabongo bana, Sasa ajiskie vibaya Ili iweje na ni starehe zao
 
Jokate ana umri gani kwan
 
Hata baba yako alikuwa sawa na kina b twelve
As long as anazalisha no problem at all, unfortunately hajawahi fanya hivo ka kina b twelve so usiingize hapa na hata akifanya naheshimu maamuzi na starehe yake mkuu, so relax
 
Kwanini anamsengenya Kwanza amekukosea nini kijana wa watu ulimzaa wewe?
 
Achana na connection mkuu, mbona Hilo jambo la kawaida unafiki tu wa wabongo bana, Sasa ajiskie vibaya Ili iweje na ni starehe zao

Daah! Sasa Wanaokula tobo nyezi za hawa ni kina nani..
Maana inasemekana wanaliwa wanaliwa wanaowala kina nani?
Anyway ni starehe zao
 
Walete uthibitisho wa hilo swala kwanza sio kumsema tu kila kkukicha
Hili ni tatizo la wabongo wengi,mtu akisikia Stori mahali anaibeba km ilivyo nae anaenda kuisambaza km alikuwepo.Akiulizwa ulikuwepo eneo la tukio anajibu Mimi nimesikia Tu

Km hawana ushahidi Wampumzishe jamaa sasa Kwa hizi Stori zao asee,zinachosha kuzipa airtime bila ushahidi wowote
 
Daah! Sasa Wanaokula tobo nyezi za hawa ni kina nani..
Maana inasemekana wanaliwa wanaliwa wanaowala kina nani?
Anyway ni starehe zao
Nyie wenyewe mnakulana wanaume hasira mje kumalizia wengine aisee, mwisho wa siku starehe ya mtu hyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…