tucker carlson
Senior Member
- Oct 5, 2025
- 182
- 759
Mimi kama Gen Z naomba nianze
Hivi Millenials ilikuwaje mkawa yale mashati ya shule mnayatumbukiza kwenye ile mliyokuwa mnayaita BLUU? Kaka yangu alikuwa na huo mtindo kila akirudi shule alikuwa ananunua hiyo bluu anaweka kwenye maji wakati anafua ili kupendeza
Unakuta shati halieleweki ni rangi ya bluuu au nyeupe
Alafu walikuwa wanajikuta wamependeza wenyewe kumbe walikuwa washamba tu
Vitu vingine ni vipi tushirikishane wakuu