Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 62,068
- 127,679
Kama mimi ndio nilikuwa nachekesha. Bluu ziliisha umaarufu yalipokuja mashati ya tomatoYes, kuna ambao walikuwa wanazipatia baraaa , ila wengine blue inakosa balance
Kama mimi ndio nilikuwa nachekesha. Bluu ziliisha umaarufu yalipokuja mashati ya tomatoYes, kuna ambao walikuwa wanazipatia baraaa , ila wengine blue inakosa balance
Wana viatu vyao vikubwa kama tofali Kwa kweli Huwaga nashangaa sana wanawezaje kuvivaa na kutembea kabisa bara barani 🤣🤣🤣Ila kuvaa suruali chini ya matako sio ushamba ni ustaarabu sio?
tukianza kuwachambua watalia. ila mkumbuke ni watoto wetu tuwapunguzieWengi ajira ya ni bodaboda. Kupenda mishangazi, Kuna muda genz waliooa hawana nghvu za kiume.. Sisi wakina zembwela mnatuona?
Tuko physically fit.
Aisee huu mtindo wa fashion Ni retrospective (unajirudia).Ila kuvaa suruali chini ya matako sio ushamba ni ustaarabu sio?
Tumetoka mbalii 😅😅Kama mimi ndio nilikuwa nachekesha. Bluu ziliisha umaarufu yalipokuja mashati ya tomato
Zama zinabadilikaaa.. Kila zama na mambo yake
Usimpe hata mia huyo gen z😀😀Gen Z tutakutana kwenye zile sms zenu za bro una ten lakaribu.Si mnajifanya mnakashfa nyie.View attachment 3588753
Uzuri hicho Gen z sio kizazi cha mwisho. Kitakuja kizazi kingine kitachowaona nyie Gen z ni kizazi cha kishamba kupita maelezo. Hiyo inaitwa 'kupokezana'🤣Mimi kama Gen Z naomba nianze
Hivi Millenials ilikuwaje mkawa yale mashati ya shule mnayatumbukiza kwenye ile mliyokuwa mnayaita BLUU? Kaka yangu alikuwa na huo mtindo kila akirudi shule alikuwa ananunua hiyo bluu anaweka kwenye maji wakati anafua ili kupendeza
Unakuta shati halieleweki ni rangi ya bluuu au nyeupe
Alafu walikuwa wanajikuta wamependeza wenyewe kumbe walikuwa washamba tu
Vitu vingine ni vipi tushirikishane wakuu
Umesahau kwa nyuma unapiga pasi halafu inakuwa na vyumba vyumba kama vya alama ya karata ya kisu amabzo zinapandiana.Mimi kama Gen Z naomba nianze
Hivi Millenials ilikuwaje mkawa yale mashati ya shule mnayatumbukiza kwenye ile mliyokuwa mnayaita BLUU? Kaka yangu alikuwa na huo mtindo kila akirudi shule alikuwa ananunua hiyo bluu anaweka kwenye maji wakati anafua ili kupendeza
Unakuta shati halieleweki ni rangi ya bluuu au nyeupe
Alafu walikuwa wanajikuta wamependeza wenyewe kumbe walikuwa washamba tu
Vitu vingine ni vipi tushirikishane wakuu
Wala hukuchekesha Mimi nilikuwa nakuzingatia sana Miss Darling!How are you doing,babe?Kama mimi ndio nilikuwa nachekesha. Bluu ziliisha umaarufu yalipokuja mashati ya tomato
Nahangaika kulea na kusomesha kwa kuwa ni WAJIBU wangu and I don't regret or care about it.
Ukitambua umuhimu wa kutimiza WAJIBU wako huwezi kujiuliza chochote.
Dunia inahitaji binadamu kwa kuwa mpaka sasa ndio kiumbe kinachojitambua kwa mema na mabaya. Bila binadamu hakuna hii dunia.
Ni muhimu kutambua WAJIBU wako hapa duniani.
Binafsi yangu napenda sana watoto and the whole concept of ndoa . Naamini mtoto anaekua kwenye malezi mazuri,anakuwa mtu bora mbeleni lakini pia kuna joy ya kuwa mzazi. Kuona kiumbe chako ambacho una bond nacho tena isiyovunjika kina furaha na kinakuonesha ule upendo pure kiasi cha kupoza kila dhoruba unayopambana nayo katika maisha . Ni baraka sana
Ila
Hakuna watu ambao wanapenda sana kuwasema wenzao kuhusu kutokupata watoto kama ambao wanao
Hakuna watu wanapenda kushinikiza wenzao waoe na kuolewa kama ambao wameoa na kuolewa..
Kiujumla hakuna watu wanaopenda kufuatilia maisha ya bachelors kama hayo magroup mawili hapo juu..
Ila bachelors au watu wasio na watoto na ndoa. Huwa hawawafuatilii wenye navyo.
Eti unakuwa unakuwa na watu wa kuenzi jina lako ukifa...wakati huo nimeshakufa nafaidika vipi na huko kuenziwa
Uzuri hicho Gen z sio kizazi cha mwisho. Kitakuja kizazi kingine kitachowaona nyie Gen z ni kizazi cha kishamba kupita maelezo. Hiyo inaitwa 'kupokezana'🤣
MillennialsNakupa ushauri wa ziada ukiwa kazini kuwa na uso wa bashasha siku zote, hata kazi iwe na uzito gani usije ukakaribisha hasira kwenye ajira yako au kwenye kujitafuta kwako.
Mwenye sura ya hasira anaonekana mtu wa kisirani mwenye bashasha huwa rahisi kutumwa maofisi tofauti kwa sababu ya bashasha yake. Hii bashasha yake ni njia nzuri sana kujenga connection na ofisi aendazo na hata waajiri wake.
Mwisho wa ushauri:- Kumbuka lengo lako ni kutafuta mafanikio yako sio kumtafutia mafanikio Boss wako. Wewe una ndoto zako hizi unahitaji kuzikamilisha sio uridhike na ajira yako kwa kutimiza ndoto za Boss wako.
Am going great babe, ila hujaniuliza kama nimekulaWala hukuchekesha Mimi nilikuwa nakuzingatia sana Miss Darling!How are you doing,babe?