Gen zero kwenye ubora wenu 🚮“Nikinywa maji nakuona kwenye glass” first touch ya hovyo kutoka kwa millenials emu ongeza nyengine apo👇
Hata sijui ni nani, haya wasingeyajua😆Hivi ni nani anawaambia GenZ siri zetu lakini 🤣🤣
je kuvaa suruali kubwa inakua kama gunia na kuvalia kifuani badala yakiunoni ina maana gani ?Haya na nyie kubana/kumodoa suruwali inakuwa kama soksi ndio nini sasa??
Nilikuwa sina bando , kwani Kuna battle kati ya millennials na Gen Z ?“Nikinywa maji nakuona kwenye glass” first touch ya hovyo kutoka kwa millenials emu ongeza nyengine apo👇
Kila jambo linawakati wake.Mimi kama Gen Z naomba nianze
Hivi Millenials ilikuwaje mkawa yale mashati ya shule mnayatumbukiza kwenye ile mliyokuwa mnayaita BLUU? Kaka yangu alikuwa na huo mtindo kila akirudi shule alikuwa ananunua hiyo bluu anaweka kwenye maji wakati anafua ili kupendeza
Unakuta shati halieleweki ni rangi ya bluuu au nyeupe
Alafu walikuwa wanajikuta wamependeza wenyewe kumbe walikuwa washamba tu
Vitu vingine ni vipi tushirikishane wakuu
Kuvaa suruali kubwa kuzidi ukubwa wa mwili ni ufisadi kama ufisadi mwingine.je kuvaa suruali kubwa inakua kama gunia na kuvalia kifuani badala yakiunoni ina maana gani ?
Acha fujo memsaheeb.Tulia nakutumia vocha.Bibi gani tena?
ilikuwa ukikosea ku balance blue inakuwa kisangaa unaweza ukaghairi kuvaa shati lenyeweBlue ilikuwa inasaidia kuficha vumbi pia
Haya nasubiriaAcha fujo memsaheeb.Tulia nakutumia vocha.
Kuna watu walikuwa mafundi balaa, kale karangi kanakuwa smooth kama vile shati limenunuliwa hivyoilikuwa ukikosea ku balance blue inakuwa kisangaa unaweza ukaghairi kuvaa shati lenyewe
Wengi ajira ya ni bodaboda. Kupenda mishangazi, Kuna muda genz waliooa hawana nghvu za kiume.. Sisi wakina zembwela mnatuona?Gen z unamkuta kavaa yebo kubwa afu zito surual kaimodoa inambana hadi akinyeshewa anaomba msaa wa kuivua, kavulana ka watu unakuta kamejipodoa ni kama.... Acha nisimalize maana.....
Yes, kuna ambao walikuwa wanazipatia baraaa , ila wengine blue inakosa balanceKuna watu walikuwa mafundi balaa, kale karangi kanakuwa smooth kama vile shati limenunuliwa hivyo