Barnabas Mashamba
JF-Expert Member
- Jul 4, 2020
- 1,154
- 3,144
Sasa hivi penyewe sijui wanaweka nini. Shati linakuwa na rangi si nyeupe.
Ndio shati la shule mlinyooshe na kuweka vibox box kibao mgongoni?Umalidadi ule Tatizo kizazi cha GenZ wengi wao kipa katoka nashangaa sana kuona mtu kavaa yale mayebo makubwa meusi mguuni yani mtu anabeba Tani la Scania mguuni
😁😁 Sisi kwetu tulikuwa tunaita buibui. Sikuwahi kuweka...sio kwamba nilikuwa sipendi ila nilikuwa sijui namna ya kuwekaNdio shati la shule mlinyooshe na kuweka vibox box kibao mgongoni?
Hiyo fashoooni
Wanavaa Gen z wa kuanzia 2001View attachment 3589617
Nimezingatia kwenye simu.Haina shida.Am going great babe, ila hujaniuliza kama nimekula