tucker carlson
Senior Member
- Oct 5, 2025
- 182
- 759
Sisi wazazi wao.Hivi ni nani anawaambia GenZ siri zetu lakini 🤣🤣
Kwa nini muwaambie lakiniSisi wazazi wao.
Halafu tulikuwa tunapendeza sana na bluu zetukila kitu na wakati wake tupishe
Bibi hatakiwi.Kwa nini muwaambie lakini
Bibi gani tena?Bibi hatakiwi.
mtoa mada hawezi jua ndio ilikuwa fasheni iliyotufanya tuvutie na kupendezaHalafu tulikuwa tunapendeza sana na bluu zetu
mkuu mimi naona hao gen alpha kwa ushoga ndio wataongoza acha hawa tuwaachie u senior bachelor coz sio siri utakua unakuta mtu miaka 55 hana mke na tuko hapa.Nasikitika watakapokuja gen alpha watawashangaa gen z kwa ushoga