Millenials walikuwa washamba sana. Sasa kuweka BLUU kwenye mashati ya shule ilikuwa ndio nini?

Hakuna ushamba ni nyakati na zama tu mkuu. Fashion huja, kupita halafu zinarudi tena.

Enzi zile floor nzuri ilijengwq kwa sakafu ya tarazo ikapita zikaja tiles nazo watu wamezichoka wanarudi kuweka sakafu ya tarazo tena.
 
Hata mnaojiita millinials humu kama hukuwahi kwenda na demu akavua hizi nguo:sketi, ndan kuna sketi nyepes{nimeisahau jina}then kamisi, baada yahapo kikaptula kigumu, kanafatia kengine kale ka michezo sasa ndo ukutane na pichu na juu tishet, then kitop ndo ukutane na sidiria wewe n gen z toa jam.
 
Kila jambo linawakati wake.
Hata yanayofanyika wakati huu kizazi kijacho kitaona ni ushamba.
 
Gen z unamkuta kavaa yebo kubwa afu zito surual kaimodoa inambana hadi akinyeshewa anaomba msaa wa kuivua, kavulana ka watu unakuta kamejipodoa ni kama.... Acha nisimalize maana.....
Wengi ajira ya ni bodaboda. Kupenda mishangazi, Kuna muda genz waliooa hawana nghvu za kiume.. Sisi wakina zembwela mnatuona?

Tuko physically fit.
 
Kuna watu walikuwa mafundi balaa, kale karangi kanakuwa smooth kama vile shati limenunuliwa hivyo
Yes, kuna ambao walikuwa wanazipatia baraaa , ila wengine blue inakosa balance
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…