Millenials walikuwa washamba sana. Sasa kuweka BLUU kwenye mashati ya shule ilikuwa ndio nini?

Hii vita imekuja hadi huku?? Naona imepamba moto huko tuktuk
 
Uzuri hicho Gen z sio kizazi cha mwisho. Kitakuja kizazi kingine kitachowaona nyie Gen z ni kizazi cha kishamba kupita maelezo. Hiyo inaitwa 'kupokezana'🤣
 
Umesahau kwa nyuma unapiga pasi halafu inakuwa na vyumba vyumba kama vya alama ya karata ya kisu amabzo zinapandiana.
 
Itakuwa ni ushamba kama wanaweka hadi sasa. Lakini wakati wake ilikuwa fashion. Ni kama mivao ya diamond sasahv, hangeweza kuivaa wakati ule.
 


Eti unakuwa unakuwa na watu wa kuenzi jina lako ukifa...wakati huo nimeshakufa nafaidika vipi na huko kuenziwa

Uzuri hicho Gen z sio kizazi cha mwisho. Kitakuja kizazi kingine kitachowaona nyie Gen z ni kizazi cha kishamba kupita maelezo. Hiyo inaitwa 'kupokezana'🤣

Millennials
 
GEN Z Ndio kizazi kitacheka vizazi vijavyo na vilivyopita vyote

Kikazi cha mwisho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…